Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Original Wireless Earbuds TWS
Deep bass and 3D Sound
Active Noise Cancelation
Touch Control
Long life battery
Charging time 1.5 hrs
Bluetooth Version 5.0
Designed for Comfort and Stability..
Compatible with both Android and iOS
Arusha
Tsh 40,000/=
0712350159
PXL_20211111_140203336.NIGHT.jpg
PXL_20211111_140154737.NIGHT.jpg
PXL_20211111_140217156.NIGHT.jpg
 
Samnsung Galaxy S7 edge 32GB.
DUOS (Double Line)

Inaenda 285,000/=

Kwa aliyeko DAR njoo pm kama ukiitaji tufanye biashara.
Screenshot_20211121-095441.jpg
 
Samsung Galaxy A10
Storage 32gb
Ram 2gb
Clean haina tatizo lolote
Price 200k maongezi yapo
Location Arusha
Cont..0628988083
20211120_203417.jpg
20211120_203316.jpg
20211120_203257.jpg
20211120_203235.jpg
 
Samsung A12 simu mpya kabisa ina miezi miwili tangu niinunue dukani.

Nataka kufanya exchange na samsung A10s then aongezee na hela tutakayokubaliana.

4GB RAM, 64GB storage.

Quad camera with 48 mega pixels

Fast charge muda mchache betri inakuwa full

Sided fingerprint

0624984918
 
Samsung A12 for exchange

Mwenye samsung A10s tufanye exchange aniongezee hela tutakayokubaliana.

Simu bado mpya ina miezi miwili tangu ninunue dukani.

4GB RAM, 64GB storage

Sided fingerprint

0624984818
 
Itel A56 (used)
Haina tatizo kabisa.
Inakaa na chaji siku tatu bila kuwasha data na zaidi ya masaa 24 ukiwasha data.
Bei: 95,000/=
Dar es Salaam
0620196955

IMG-20211121-WA0001.jpg


IMG-20211121-WA0000.jpg


IMG-20211121-WA0003.jpg


Screenshot_20211126-163322.png
 
iPhone 7 Plain

Color: Rose Gold
Storage: 32GB
Version: 14.4
Battery Health: 100%
Fingerprint: [emoji736]
Home button: [emoji736]
Camera Quality: [emoji736]
Imetumika kwa wiki 1 na nusu. Clean as new!
Haina shida yoyote.

Price: 320,000/-
Makubaliano yapo

Njoo PM tuongee.
053eff7e-876f-4253-bb16-3233d6e3e206.jpg

449c81db-be2f-4504-aa82-b59c3918abbf.jpg

990381cd-8f3d-4c09-a48d-6e43ed5d3047.jpg

075607eb-0b99-48ea-a1dc-f52fbc70348f.jpg

9f960962-3383-44a9-b83c-5b1c116bcc78.jpg
 
Hanari zenu!
Nauza cm mbili kama ifuatavyo, zotw ni mali yangu kwa sababu nimenunua mpya
1. Samsung galaxy note 10 plus
Hii ina changamoto ya kioo ilianguka ikajigonga kwe.ye kona hivyo touch haifanyi kazi ila ukitumia peni inafanya kazi vema kabisa. Ina hali nzuri sana na rangi yake ni silva ya kung'aa. Bei 580,000 maongezi yapo

2. Samsung galaxy A11
Hii kama mpya bado ina hali nzuri sana haina kipengele imenyooka sana. Bei 280,000 maongezi yapo

Zinapatikana
Shaurimoyo na Kigamboni, Dar es Salaam

Kwa walio mbali waweza mtuma nduguyo kuja kagua na kulipa na kuondoka simu

Mawasiliano: 0659211222 na 0777777766 call/sms/whatsapp
20211128_195624.jpg
20211128_195559.jpg
20211128_195539.jpg
20210722_085251.jpg
20210722_085228.jpg
20210722_085211.jpg
20210722_085244.jpg
 
Hanari zenu!
Nauza cm mbili kama ifuatavyo, zotw ni mali yangu kwa sababu nimenunua mpya
1. Samsung galaxy note 10 plus
Hii ina changamoto ya kioo ilianguka ikajigonga kwe.ye kona hivyo touch haifanyi kazi ila ukitumia peni inafanya kazi vema kabisa. Ina hali nzuri sana na rangi yake ni silva ya kung'aa. Bei 580,000 maongezi yapo

2. Samsung galaxy A11
Hii kama mpya bado ina hali nzuri sana haina kipengele imenyooka sana. Bei 280,000 maongezi yapo

Zinapatikana
Shaurimoyo na Kigamboni, Dar es Salaam

Kwa walio mbali waweza mtuma nduguyo kuja kagua na kulipa na kuondoka simu

Mawasiliano: 0659211222 na 0777777766 call/sms/whatsappView attachment 2026915View attachment 2026916View attachment 2026917View attachment 2026921View attachment 2026922View attachment 2026923View attachment 2026924
Mzee hicho kioo cha Note X sio chini ya 300k, plus na hio price yako unapata refub iliyonyoooka
 
Back
Top Bottom