ngebo
JF-Expert Member
- Sep 8, 2017
- 1,684
- 2,126
inaleta unyevu ndani mfano kama unatumia feni sana au Ac unachukua humidifier yako unaeka maji af unaeka na essential oil then inakua inaleta humidity ndani inasaidia kuondoa hewa kavu ambayo italeta mafua au kifua kubana etcToa elimu kidogo kwa sisi wakoromije sielewi ni nini hicho