Wauza smartphone tukutane hapa

Mwenye mashine ya iPhone 6 isiyo na icloud anitafute ..... Nataka ile mashine ya ndani tu
 
Kwa anaehitaji samsung galaxy J5 njoo 0715490570 mpya kabisa for very reasonable price
 
nauza s4 bei 370000
almost new haina michubuko hata mmoja
internal-16gb
ram-2gb
bei 370000
nichek 0659116111
maelewano yapo
 
nauza s4 bei 370000
almost new haina michubuko hata mmoja
internal-16gb
ram-2gb
bei 370000
nichek 0659116111
maelewano yapo

Duuuh mbona bei kubwa hivo mimi nilikuwa nauza s4 internal ina 32gb kwa 250000.sometime muwe mnatoa sadaka tu.hiyi bei inataka iwe sawa na dukani wakati ni used.khaaa muwe na huruma hata kama soko huria
 
I phone 4s 32 GB mpyaa from Australia
Ni white.. Headphone hazijakuswaa kabisa minmpyaa..
Bei inaanzia 450k kuna maelewano..
Inauzwa sio kwa sababu ya njaa.. Watu tunataka tuvute kitu iphone6..
Contact inbox me au ni pm
 
Attachments

  • image.jpg
    363.9 KB · Views: 38
Last edited:
Duuuh mbona bei kubwa hivo mimi nilikuwa nauza s4 internal ina 32gb kwa 250000.sometime muwe mnatoa sadaka tu.hiyi bei inataka iwe sawa na dukani wakati ni used.khaaa muwe na huruma hata kama soko huria

32gb galaxy s4 kwa 250k?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…