Miunda
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 530
- 182
Tecno A3 bei yake ngapi? View attachment 315489
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tecno A3 bei yake ngapi? View attachment 315489
750kLG G4 mpya inataka 900k
Ishauzwa mkuu lakini kuna mzigo mwingine unakuja,ongeza 100 hapo ili nikukabidhi mzigo wa hadhi yako,G4 si mchezo ujue750k
nauza s4 bei 370000
almost new haina michubuko hata mmoja
internal-16gb
ram-2gb
bei 370000
nichek 0659116111
maelewano yapo
Hyo Kali sanaaNahitaji smartphone ya kukunjua (flip android phone) matata weka picha ake na bei kwa yeyote mwenye nayo
Duuuh mbona bei kubwa hivo mimi nilikuwa nauza s4 internal ina 32gb kwa 250000.sometime muwe mnatoa sadaka tu.hiyi bei inataka iwe sawa na dukani wakati ni used.khaaa muwe na huruma hata kama soko huria
nitafte kwa whatsapp +8613126597321....nitakuuzia mpyaa iphone 4 kwa 280k na iphone 5 kwa 450kNatafuta IPhone 4 au 5, kwa mwny nayo tuwasiliane Tafadhali
nichek apa whasapp +8613126597321 nitakuuzia mpyaa kwa 380kNarudia tena nahitaj s4 32gb,isiwe ya magumash nahitaj iwe katika good condition,weka na bei yako mimi offer yangu 300
nitakuuzia S3, au Note 1, mpya kabisa nicheki apa whatsApp +8613126597321natafuta simu bajeti yangu 300000 iwe samsung htc au sony
nicheck apa whasApp +8613126597321 Ninazo tuongeeNahitaji tablet ya bei reasonable
Iwe na windows kuanzia 8.1
Au Android kuanzia 4.2
Au iOs kuanzia 6
Niko Geita
njoo apa whatsap +8613126597321Siamin kama mmeshindwa kuniuzia cm ya 350 haya ngoja nikanunue viwalo maana jamii forum imeshindwa kuniuzia s4 kwa hela iyo