Wauza smartphone tukutane hapa

Naitaji Samsung A Series yoyote yenye sifa zifuatazo

Battery kuanzia 4500mAh +
Storage 4/64GB +

Iwe mali halali na iwe kwenye hali nzuri

Bei iwe ya used sio dukani

Kama unayo tuwasiliane kupitia 0676721372

Location [emoji625] Dar es Salaam
 
Iphone 11 pro max
Storage Gb 256
Face id na Tt[emoji736]
Bei 960,000
[emoji338]0628139218

Biashara dukani[emoji457]
[emoji625]Dar es salaam
 
Kuna 300k apa
 
iphone 8 plus storage ipoje hapo kwa hiyo 480K
 
Natumai itakua imeandika SM-N970F/DS..

Hii inamaanisha Free Model(F)/ Dual Sim(DS) Global Version

Hio / inamaanisha Au, hivyo

Kwahio unaweza ukapata ya free model ambayo ni singo,
Au dual Sim
 








Iphone xmas
Gb (64)
No face
Battery 90
Kila kitu Poa
Price 560k
 

Attachments

  • 30fabea7-8305-4178-94f4-2f18affda65c.jpg
    86.5 KB · Views: 19
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…