Kariakoo Modern Store
Member
- Jan 30, 2023
- 72
- 30
Vipo vipya..Natafuta kioo cha Samsung S8 plan, kipya au used
Hili wazo lako ni zuri boss...Muwe mnaweka na processor za simu husika
Maana ya dubai version?Google Pixel 6Pro (Dubai version)
RAM: 12gb , ROM: 128gb
Camera resolution: 4K
Warranty: 6 months
π°π° Tsh.930,000
π: +255 687 600 847
Exchange: βοΈ
View attachment 2662212
View attachment 2662217
Kwa hivyo unawatukana wateja wako sio?Hili wazo lako ni zuri boss...
Ila sasa kilichopo ni kwamba Watanzania wengi ni wavivu wa kusoma na ndio maana wafanyabiashara wengi tunajitahidi kufupisha maelezo kwa kadri inavowezekana.
Ni refurbished (ama kwa kugha nyepesi ni used) tuliyoiagiza kutoka DubaiMaana ya dubai version?
Boss wangu; kwanza kabisa binafsi sijaona Kama nimewatukana wateja wangu labda unifafanulie zaidi...Kwa hivyo unawatukana wateja wako sio?
Hizo hatuna bossVivo x note sh ngapi?
Pad 2 za PS 4 natafuta
Kwa mpya nitakufanyia Tsh.110,000Pad 2 za PS 4 natafuta
Utapata kwa Tsh.370,000Mimi nahitaji ps3