Wilhelm Johnny
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,368
- 1,325
Niko pande za moshi 260000Weka bei
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niko pande za moshi 260000Weka bei
Ok nilijua upo DarNiko pande za moshi 260000
OKOk nilijua upo Dar
Pamoja sana mkuuShukrani sana Mkuu
Nauza galaxy s4 ina internal 32gb, white colour, imetumika miez 2, ram 2gb, processor 1. 6ghz,android version 5.0.1, nakupa na chaja yake haina tatizo lolote bei 300k fixed kama upo tayar nitafute 0653957095 napatikana dar
http://s07.jamiiforums.com/mini/uyE8/bg_000000/txt_000000/border_000000/flags_0/
sasa kk kama unataka ya dukani.umefuata nini huku jf au maduka hujui yalipo.au jf duka..usinielewe ni kwa jinsi ulivyouliza..Nahitaji note 2 ila uwe na duka. Taratibu zifatwe
Vipi nikikuagizia original kutoka ChinaNahitaji note 2 ila uwe na duka. Taratibu zifatwe
mkuu salama. nina note 2 gb 32 ni used in dubai lakini iko in very good condition. 330,000.Nahitaji note 2 ila uwe na duka. Taratibu zifatwe
Nahitaji note 2 ila uwe na duka. Taratibu zifatwe
Kwa bongo zipo juu kama 1.6 mpk 1.4 ipo 6s nauza 1.4 still newNaulizia bei ya iphone 6s mpya kwa siku za hivi karibuni.
Na ni wapi naweza ipata original from US kwa hapa bongo?