William Ngotti
Senior Member
- Apr 13, 2015
- 187
- 48
NimeshawekaWekeni bei za kuanzia basi ili kuepusha PM kibao, then ndo useme mazungumzo yapo..!!
Waambie na wenzako..!!Nimeshaweka
Hapo juu ulivoanza kama wale jamaa wa k/koo walioweka spika nje, huwa kinaanza π¶sound hiyo, offer offer!!" AU ndiyo weye...?offer offer!!!!!
galaxy s4 internal 32gb kwa 270,i9500 nichek watsapp kwa picha na maelezo zaid!
Sold for 600K earlier today.Njoo inbox 0652971495
Umetumwa mkuu!Hapo juu ulivoanza kama wale jamaa wa k/koo walioweka spika nje, huwa kinaanza π¶sound hiyo, offer offer!!" AU ndiyo weye...?
Ndio mkuuHizi biashara ni za kuaminika?
100k nakupaNauza s4 mpya kama spear...ina matatizo...anayehitaji....nichek 0654145154...bei 160k
Umeupdatesamahani wakuu nina samsung s4 mini imeanza tatizo la kukata network na inaleta ujumbe nitaweka attachment hapa chini kila inapowashwa.
ninaomba msaada wa kujua nini cha kufanya ili niwe hewani tena.
Jaribu ku updatehapana mkuu sijafanya update ilizima chaji nilipokuja kuiwasha imeleta ujumbe huo na nimejaribu kutoa sim card na kuirudisha tena bila mafanikio.
sawa mkuu nimekuelewa ila tatizo hata ukiweka sim card haisomi kwa hiyo haina mawasiliano ya internet wala kupiga/kutuma ujumbe.Jaribu ku update