Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

offer offer!!!!!
galaxy s4 internal 32gb kwa 270,i9500 nichek watsapp kwa picha na maelezo zaid!
Hapo juu ulivoanza kama wale jamaa wa k/koo walioweka spika nje, huwa kinaanza π¶sound hiyo, offer offer!!" AU ndiyo weye...?
 
Lg g3 s inauzwa. Used about a month inakuja na box na vtu vyake. 8gb internal, 8mpx, 5"screen, knockcode, kwa 300k tu. Nicheki whatsapp 0789095484
 
BlackBerry z10 inauzwa

Internal memory 16 GB
Camera 13 Megapixels
Front Camera 8 MP
RAM 1 GB

Ipo in very good condition haina tatizo lolote.

Bei 250,000 (Maelewano yapo)

Nipigie/nitext kwenye 0714499248
Nipo dar
 
samahani wakuu nina samsung s4 mini imeanza tatizo la kukata network na inaleta ujumbe nitaweka attachment hapa chini kila inapowashwa.

ninaomba msaada wa kujua nini cha kufanya ili niwe hewani tena.
 

Attachments

  • 1459600432540.jpg
    1459600432540.jpg
    125.6 KB · Views: 43
  • 1459600499300.jpg
    1459600499300.jpg
    93.6 KB · Views: 58
hapana mkuu sijafanya update ilizima chaji nilipokuja kuiwasha imeleta ujumbe huo na nimejaribu kutoa sim card na kuirudisha tena bila mafanikio.
 
Back
Top Bottom