Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Cm bado mpyaaaaaaa mkuu umeshuka sana ntakutolea nauli 230k mwisho nikalipe ada
 
Anayehitaji tecno c8 bei ni 230k haipungui cm ipo sawa na mupyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kabisa nina shida na hiyo pesa mi nilichukua 300k keshi namba 0625 499022
 
Iphone 5s 16gb ipo vzur nakupa na cover moja pamoja na bumper case na charger bei 550k rangi silver npo Mtwara ukihitaji kesho nakutumia popote ulipo, nicheck inbox kwa maelewano zaid
 
Nauza Nokia Lumia 520 kwa Bei ya 130k
imetumka kwa miezi 6 tu nicheck kwa
0657 879093
lumia-520-6.jpg
 
Na Mi nauza Nokia Lumia 520 Bei 130k iko vizuri imetumika muda mfupi tu
0657 879093

lumia-520-6.jpg
 
Huawei Bluetooth headsets, tzs 35,000/- mpya kabisa. Ina connect aina zote za simu. Nipo Dar nicheki 0715490570
 

Attachments

  • 1459915422333.jpg
    1459915422333.jpg
    39 KB · Views: 33
  • 1459915436470.jpg
    1459915436470.jpg
    34.9 KB · Views: 34
  • 1459915455600.jpg
    1459915455600.jpg
    35.9 KB · Views: 42
Apple Id imesahaulika. Kuna njia ya kuweza ku bypass ili ikatumika
 
Nauza Huawei 330y Asend dable line nilinunua 140000. Nauza 80000Tsh. Iko katika hali nzuri
Sababu ya kuuza: nataka nibadilishe sim.
 
Anayehitaji tecno c8 bei ni 230k haipungui cm ipo sawa na mupyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kabisa nina shida na hiyo pesa mi nilichukua 300k keshi namba 0625 499022
Upo mkoa gani? Tupia hiyo picha
 
Back
Top Bottom