Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Kumbe watu mnatembea na mitaji mikononi then mnasema hakuna hela
 
nahitaj htc desire 720 dau lak 2 nip dom am htc desire 80... dau lak 2 na 70. used ama iphn 4 16gb .
 
Nauza Itel iT 1405 ina miezi wiwili tuu...
Haina Tatizo Ipo kwenye Hali nzuri... Mwenye 80,000 Njoo tufanye Biashara,,
0654766056 call,, text ,, whatsapp..
 
Back
Top Bottom