Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Galaxy original s4 ambayo sio mini na inatumia 4g unaniuzia sh ngap? Nahitaj hiyo cm
 
Ile Lg G3 bado IPO kwa wakazi was mwanza,alie dar tafuta MTU aje aikague na siyo mimi nitume simu.beini ile ile fixed 380k siyo clone na haina ttzo.call me 0756169666
 
Nahitaji mwenye HTC Kalii na laki 1 tupatane...nampa samsung galaxy s5
0719448891 & 0656106710
 
Wana jamii forums . Nipo na sony experia z2 inataka 600,000. Z3 inataka 750,000 na samsung galaxy s5 inataka 550,000 .samsung galaxy s4 450,000 . Samsung galaxy s3 inataka 300,000 .lg nexus 4 inataka 310,000. Simu zote ni original . Z2 .z3.s5 ni practically ni mpya kabisa angusha offer yako upate picha + mawasiliano na deal likipita unapata mzigo wako serious buyers only .mzigo kotoka uk.

Nataka s5 ipo 450,000 cash, Kama inalipa ni PM
 
nipo.na.tecno R7 nataka 300000 nimeitumia kama miezi mitatu na kidogo ivi.well come
 
nauza simu aina ya tecno r7......internal memory 16gb, secondary camera 13mp, ram ni 2gb. imetumika miezi (7) michache...ina kila kitu chake kama ilivyonunuliwa na box lake lipo pia. mwenye kuhitaji tuwasiliane 0758 46 31 32
 
Brandnew LG G2 for sale
Original, Boxed with full accessories
32GB Internal Storage
One year warranty
Price 410,000
Contact 0718942311 or 0785300134
 

Attachments

  • 1441438577639.jpg
    1441438577639.jpg
    96.6 KB · Views: 248
Niuzie galaxy note 3 original 32gb price tsh 350 call 0719005952
 
Nataka s5 ipo 450,000 cash, Kama inalipa ni PM

mkubwa mzigo ulikwenda wote ila kama huna haraka kwa wiki moja naweza kukupatia. mzigo utaondoka jumanne wiki inoanza na kufika jumanne wiki inofuata . kwa maelezo zaidi na picha ni pm no yako ya whatsapp nikutumie picha kabla kufunga deal .
 
Nipe note 3 nyeusi nkupe galaxy s4 AT&T yenye 4G lte capacity na negotoable mkwanja unaotaka
 
Back
Top Bottom