Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Umekalili mkuu

Hahaha hays mkuu binafsi me nikiona simu boot animation yake inaandika android huwa nakuwa sina imani nayo hata kama ni original coz huwa nawaza may be imefanyiwa customization.soory kama ulinielewa vibaya mkuu
 
Iphone 6s from Uk,32gb iko kwenye good conditions kama unavyoiona hapo,call me ukiihitaji 0767242454

Haya sasa chombo hiyo hapo kama unavyoiona GALAXY NOTE 4 iko na hali nzuri sana,ukiihitaji call me 0715242454,0767242454

nauza laini ya tigo pesa airtelmoney na vodacom kwa mawasiliano 0784608037 simu yangu sio ya smart phone nipigie tuelewane nipo dsm

Hamuweki bei,hampo serious
Nawachukia watu wa aina hii
 
tecno phantom z min ina ka crack kidogo ila kuona hiyo crack ni kwashida sana. Tsh250000
 
tecno phantom z min ina ka crack kidogo ila kuona hiyo crack ni kwashida sana. Tsh250000

Ukibandika na picha yake utacapture attention ya sisi wateja wako lakini kwa maneno matupu ni kaazi kumpata mteja kirahisi.
 
Hahaha hays mkuu binafsi me nikiona simu boot animation yake inaandika android huwa nakuwa sina imani nayo hata kama ni original coz huwa nawaza may be imefanyiwa customization.soory kama ulinielewa vibaya mkuu

nishaona clone note 4 ukiiboot inaandika android katikat ya screen ila kdogo na hyo nna waswas nayo ila sina uhakika
 
Mkuu Kwa hali hiyo hutouza ng'oo piga picha vizur,ionekane au Angalia wenxako juu hapo jinsi ya kupiga lol

Watu wengine Hawawezi kabisa biasharq, huyu jamaa ni zero kabisaaaa, nn kinamshinda kupiga picha vizuri? Mm nahitaji pia iPhone 5 bt kwa uuzaji wenu wa humu naona km napatq shida kuipatw
 
nishaona clone note 4 ukiiboot inaandika android katikat ya screen ila kdogo na hyo nna waswas nayo ila sina uhakika

Hahaha hays mkuu binafsi me nikiona simu boot animation yake inaandika android huwa nakuwa sina imani nayo hata kama ni original coz huwa nawaza may be imefanyiwa customization.soory kama ulinielewa vibaya mkuu

nyi mnaongea khs mediatek ungeuliza mediatek ni nini
 
Nina laki moja naweza kupata smartphone aina yeyote yenye Ram ya gb moja na kuendelea?kama unayo ni pm

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Habari zenu.
Mkononi nipo na
Samsung galaxy s4 original,
Internal storage ni 32gb.
Camera ni 13 megapix
Screen protector ni tempered grass.
2gb ram.
Display 5 inch
Quad core processor
Android version ni 5.0.1 lollipop
Plus charger yake.
Cover lake la nyuma....
Gharama ni 350,000/
Haipungui...haipungui..
Unaitaka????
Nitafute kwa namba 0716403314.
Karibuni(bado ipo)
 
Back
Top Bottom