mkuu ingekuwa 6 ungepata ninazo zote 6+ na 6 ila 6+ siwezi kutoa kwa hiyo bei.6 niliyonayo ni nyeupe 64gb very clean
6plus bei gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu ingekuwa 6 ungepata ninazo zote 6+ na 6 ila 6+ siwezi kutoa kwa hiyo bei.6 niliyonayo ni nyeupe 64gb very clean
Yeah, inatumia sim card za kawaida, ni 32 gb, na ina flash camera. Ipo ktk hali nzuri sana, haina mpasuko wala ufa wowote. Ina charger yake iliyokuja nayo pamoja na cover lake. Ila bei imesimama kutokana na ubora wake na hali iliyonayo, naiuza 650/=
550 ni hela nzur, ili hailipi mkuu. Hamna anaekataa hela. Nakuuzia kitu ambacho hakina tatizo lolote wala mipasuko yoyote. Labda kwa 620/= ntakuachiaChukua 550 mkuu
Nauza tablet aina samsung galaxy note 10.1
Sio 2014 version mkuu, ni zile galaxy note 10.1 za awali. Bei ya kuuza ni 620 mkuubei kias gani mkuu, na je ni 2014 edition
Nauza samsung LED TV inch 26 bei 360k.niko dar.mawasiliano 0686979746