Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

OFA... HUAWEI ASCEND G610 INAUZWA
Simu tajwa hapo juu inauzwa kwa bei ya 120000/= tu... Simu bado ni mpya tu but Nauza kwa bei ya hasara kwa sababu ndo hvo nna shida ya haraka.... ina...
Internal storage ni 2GB
RAM ni 1GB
Screen size ni 5inch
Camera rear ni 5MP na mbele ni 2MP
kama upo interested nicheck kwa 0713672532 au 0765935449 tufanye biashara....
 
Bajeti yangu ni 250,000 mwenye Samsung au Sony mpya au used njoo tuongee biashara
 
Sony XBO inauzwa(ni copy)...Bei 70,000 tu... na haina tatizo lolote... kama uko interested nicheck kwa 0765935449 au 0713672532
 
Bajeti yangu ni 250,000 mwenye Samsung au Sony mpya au used njoo tuongee biashara
 
SAMSUNG GALAXY S4 NEW MODEL INAUZWA
Simu ipo katika hali nzuri ingawa ina some minor scratches, Pia touch yake imepasuka baadhi ya sehemu upande wa juu lkn imewekwa protector... pia inafanya kazi kama kawaida af pia ipo na cover lake. Simu ina...
CAMERA NI 13MP REAR AND 2MP FRONT
INTERNAL MEMORY 16GB
RAM 2GB
SCREEN SIZE 5.0''
Inasupport 2G, 3G na 4G
PROCESSOR NI 1.6GHZ
BEI YAKE NI TSH. 230,000/=... KAMA UNAHITAJI NICHECK KWA 0765935449 AU 0713672532. NAPATIKANA MABIBO DSM
 

Attachments

  • 1450333173907.jpg
    1450333173907.jpg
    51.4 KB · Views: 262
  • 1450333187476.jpg
    1450333187476.jpg
    47.2 KB · Views: 255
  • 1450333196978.jpg
    1450333196978.jpg
    62.4 KB · Views: 248
  • 1450333208924.jpg
    1450333208924.jpg
    56.4 KB · Views: 248
  • 1450333220058.jpg
    1450333220058.jpg
    74 KB · Views: 248
  • 1450333233830.jpg
    1450333233830.jpg
    63.1 KB · Views: 237
OFA... HUAWEI ASCEND G610 INAUZWA
Simu tajwa hapo juu inauzwa kwa bei ya 120000/= tu... Simu bado ni mpya tu but Nauza kwa bei ya hasara kwa sababu ndo hvo nna shida ya haraka.... ina...
Internal storage ni 2GB
RAM ni 1GB
Screen size ni 5inch
Camera rear ni 5MP na mbele ni 2MP
kama upo interested nicheck kwa 0713672532 au 0765935449 tufanye biashara....

Mkubwa Unazingua Watu Tu.Kwan Bei Ulotaja Ukipigiwa Simu Kuitaka Hiyo Simu Unakataa Kuwa Huuzi Hiyo Bei.Kuwa Mkweli Mkuu,unaboa
 
Anayeuza Galaxy note 4 au 5 anitafute ila simu iwe maeneo ya Dodoma au Morogoro.
 
Nahitaji Simu Yeyote Ila Iwe Na Kioo Size 5 Na Kuendelea,intenal Gb4 Nakuendelea,camera Mp5 Nkndelea,ram Gb1 Nakuendelea.Bajeti Yangu 150000.Nitafute Kwa Namba Hii 0754288065
 
Tecno y3 bado mpya ina 8GB internal storage.bei 100000 tu.0712484858.
 
Nauza huawei y220 bei ya kutupa 70000 tu cm haina tatizo lolote kwa anaehita nicheki 0715460332 nipo dar banana
 
Back
Top Bottom