Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Nataka Lenovo Vibe P1m,5000mAh,anaeweza niletea ani PM tufanye biashara
 
Habarin wakuu naomben mwenye smatphone ambayo hatumii au ambayo imeharibika au cm yoyote yenye intanet anisaidie bure
 
Habarin wakuu naomben mwenye smatphone ambayo hatumii au ambayo imeharibika au cm yoyote yenye intanet anisaidie bure

dah mm ninayo iliyokufa ila ucipende vitu vya bure,,,,fight like a maN
 
Mkuu ckupenda kuja kuomba humu jf ila hali ya ugumu wa maisha humu chuoni.nilhtaj smat kwa ajil ya kusach material clas
 
NAUZA MOTO G TOLEO LA KWANZA KWA 180000' IPO KWENYE HALI NZURI' maongezi yapo
 
Naomba kufahamishwa kwa yeyote anayefahamu kuhusu Wanigeria wanaotangaza kwenye Kupatana kuwa wanauza simu kwa bei rahisi jee siyo matapeli kweli?
 
Simu ipo katika hali nzuri ingawa ina some minor scratches, Pia touch yake imepasuka baadhi ya sehemu upande wa juu lkn imewekwa protector... pia inafanya kazi kama kawaida af pia ipo na cover lake. Simu ina...
CAMERA NI 13MP REAR AND 2MP FRONT
INTERNAL MEMORY 16GB
RAM 2GB
SCREEN SIZE 5.0''
Inasupport 2G, 3G na 4G
PROCESSOR NI 1.6GHZ
BEI YAKE NI TSH. 240,000/=... KAMA UNAHITAJI NICHECK KWA 0713672532. NAPATIKANA MABIBO DSM
 
kuna nokia x2 dual mpyaa haina hata scratch nyeupe inataka 160000
 
Offer offer ya Xmass jipatie Microsoft Lumia 430 yenye
Internal memory 8GB
RAM 1GB
Inakaa na chaji kwa masaa 8 data ikiwa On
Imetumika kwa muda mfupi na IPO katika hali nzuri.
Bei Tsh.150,000/=(kuna maelewano)

Ipo Dar-Upanga

Wahi sasa...
Karibuni

***Ishauzwa****
 

Attachments

  • 1450856292210.jpg
    1450856292210.jpg
    42.4 KB · Views: 285
  • 1450856310915.jpg
    1450856310915.jpg
    37.1 KB · Views: 272
  • 1450856335546.jpg
    1450856335546.jpg
    45.8 KB · Views: 273
  • 1450856359600.jpg
    1450856359600.jpg
    37.9 KB · Views: 261
Back
Top Bottom