Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Brand new samsung galaxy grand prime 370000
 

Attachments

  • IMG-20160120-WA0073.jpg
    IMG-20160120-WA0073.jpg
    52.4 KB · Views: 52
  • IMG-20160120-WA0072.jpg
    IMG-20160120-WA0072.jpg
    31.4 KB · Views: 48
Samsung galaxy J1 ((SEALED))
 

Attachments

  • IMG-20160120-WA0071.jpg
    IMG-20160120-WA0071.jpg
    53.3 KB · Views: 53
d3e12cff2d0b28240931819136280a9f.jpg

Samsung galax s6 64GB
Sim hii ipo katika hali nzuri kabisa
Haijawahi kutumiwa. 0KM
Inauzwa kwa bei nyepesi tuu 800000
Wasiliana nami kupitia 0786371108
Wahi sasa
 
Nauza tecno l6, imetumika miezi 6, haina michubuko wala tatizo lolote, vifaa vyote na box Lake lipo. Tshs 199,000. 0712223881.
 
kama kuna mwenye tecno c8 na anaiuza... aniuzie nina budget ya 230k.... 0715289314
 
Nauza tecno c5
Imetumika mwezi mmoja tu
Ushahid risiti
Tsh. 210,000
Mawasiliano:- 0683849898
 
Nauza samsung galaxy s advanced ina crack kidgo kwenye kioo but inapiga mzigo fresh
Bei 150000
Njoo pm
Au 0757037427
 
Nahitaji Moto G 2nd generation, iwe katika hali nzuri. Budget yangu 120,000 mwenye nayo ani PM
 
Back
Top Bottom