Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Samsung j7 mpya 500,000/-
ni mpya nliagziwa na bro bt nataka niiuze nichukue S6
ni-pm nipo Arusha.
 
nauza tecno h5 nipo dar simu iko poa original bei 75 0712505049
 
Nauza c8 tecno cammon bei 240k ipo ktk fantastic condition mm nilinunua 300k nina shida ya pesa nw
 
Nauza Galaxy note 2, mpya. Imetumika siku 2 tu, ina screen protector,cover ya nyuma na chaji. Bei ni 300k fixed. Kwa aliye serious anitafute kwa 0755783420 nipo Dar.
 
Wauzaji wa Used Windows Phone mko wapi?
Mi ninazo ila hazina sifa ulizoziweka 1. Zote ni Single Sim(line 1) 2. Ni Nokia Lumia 620 Black na Nokia Lumia 630 Hii bado mpya kabisa ila ina makava mawili moja ni Black na lingine ni Green kwa hiyo unajichagulia unataka simu iwe na mwonekano wa rangi gani hivyo kama hautojali naweza kukuuzia zote mbili kwa laki 3. Note: Zote zinatumia Windows 8.1
 
niko meatu-simiyu,ww uko wapi?
 
Samsung galaxy s4 gt I9500
bei 350,000 inapungua
Contact 0659944288
5aa4285ab4b180ba9dc1a08629eb20ca.jpg
 
Blackberry z3 nauza 270k.pia ninayo tecno y3 nauza 140k.simu zipo kwenye hali nzuri.0712484858.
 
Back
Top Bottom