gambada ynwa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 390
- 371
iphone 4. Nyeusi. Gb 16
Ipo kwenye hali nzuri kabisa
260k
Nichek 0766501816 nipo dar
Ipo kwenye hali nzuri kabisa
260k
Nichek 0766501816 nipo dar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilinuuliza kumtega tu jamaa ana bei sana aiseeha ha ha mi nnayo 32gb na nauza 300k
bei kaweka kubwa sana ila inaweza ikawa bahati yake akauza alafu isitoshe haina LTE lakin hiyo bei yake ni balaaaaaaaaNilinuuliza kumtega tu jamaa ana bei sana aisee
mkuu chukua s4 yenye internal 32gbNahitaji simu nzuri iwe Samsung au iPhone Nina 300,000/ ..inahitajika kwa haraka
Acha uoga mkuu kuna mdau hapo juu anauza s4 ina 32gb kwa lakitatu.muone muongee busnessMi nataka mpya used naogopa kupigwa
mkuu unaweza kutafuta mpya ndio ikawa majangaMi nataka mpya used naogopa kupigwa
hapo mkuu utakua umefanya cha maana sana coz jamaa nae ana s4 iko vizur mchek ufanye nae biasharaNgoja nitaongea na justine
Hela ngumu mkuu kitu kizuri hichooffer offer!!!!!
galaxy s4 internal 32gb kwa 270,i9500 nichek watsapp kwa picha na maelezo zaid!