Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Nina SAMSUNG GALAXY J1 SM-J100FN
INTERNAL 4GB
EXTERNAL 4GB
RAM 1GB
INA SUPPORT 4GB BILA WASIWASI WOWOTE
KAMERA YAKE NZURI
IMETUMIKA WIKI 3 BADO IPO KWENYE CONDITION NZURI....
SERIOUS BUYERS ANICHEKI WHATSAP OR SMS TO 0764 223391
Bei
 
Nauza TABLET aina ya Samsung Galaxy Note 10.1, 2014 Edition(SM-P605). Bado ipo ktk ubora wake. Bei yake ni 750k. BEI INAPUNGUA. Namba 0713 925908, npo dar. RAM ni 3GB, internal memory ni 32GB. rangi nyeupe. Ina charger yake p, na cover lake og jeusi. Inatumia sim card, pia inapiga na kupokea simu kama kawaida
 
Tecno L5 bado mpya imetumika wiki tu,
ram 1Gb,
internal 8Gb,
bei 150,000 tu nipo dar.
 
Which and which..au unapenda ligi?!?

Hunifahamu. Kwa hiyo kama utaamua kujiongeza juu yangu kuangalia nini ninachokifanya utajiumiza. Hayo maneno ya unapenda ligi siku zote hutolewa na watu wanaopenda vijembe. Mimi niko tofauti sana, nisome taratibu binti utanielewa!
 
acha kupaniki unatoa mapovu ya nini?
 
Hunifahamu. Kwa hiyo kama utaamua kujiongeza juu yangu kuangalia nini ninachokifanya utajiumiza. Hayo maneno ya unapenda ligi siku zote hutolewa na watu wanaopenda vijembe. Mimi niko tofauti sana, nisome taratibu binti utanielewa!
Eish!...No need to know you! We were only in argument based on this topic " UTAPELI" Lets carry on...
 
Eish!...No need to know you! We were only in argument based on this topic " UTAPELI" Lets carry on...

Huna jipya nimeshakupuuza. Unaleta vijembe uwezo wako wa kujenga hoja ni mdogo, siwezi kuendelea kufanya mjadala na wewe.
 
Nakuahidi hakuna hatua zitakazo chukuliwa dhidi yangu juu ya ulichoki report .
"Chizi huona wote machizi isipokua yeye "
 
Hahahahahaha haha bangi za jua kali hizo. Kalale uje na akili zako timamu weandawazimu hukoooooo kwenu
 
nauza Microsoft Lumia 535 kwa 380,000 tuu ni mpya zipo nne toka dubai full box.
nichek kama wahitaji
 
nauza Microsoft Lumia 535 kwa 285,000 tuu ni mpya zipo nne toka dubai full box.
nichek kama wahitaji
 
Nilisha reset mkuu, nilishaenda adi Mwanza pale Tecno ofisini tatizo likaisha lakin limejirudia tena. 370000 inaniuma msaada jamani.
 
Back
Top Bottom