Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Samsung galaxy s2 ipo sokoni.. hali nzuri
Bei 168,000 tshs cash
Nipo dar es salaam
0653811003 call au whatsapp ASAP
 
Nauza samsung GALAXY J5, gold colour, imetumiaka week 3 tu na siku kadhaa risiti ya dukani ipo kwa kuthibitisha hilo, ipo na box lake haina mchubuko wowote wale crack wala tatizo lengine lolote, ina screen protector na cover, pia accessories zote zipo i.e earphone na original charger yake.

Pia kakitabu chake cha warranty ambao ni wa miaka miwili.

Pesa inahitajika ndani ya masaa 48 ambayo ni Tsh 430,000/=

Mawasiliano 0686297599.
 
Tecno C8
Used for 3weeks
With 13months warranty
Price:255,000
993f4d4267533f410c2eb8bf45ee25a1.jpg
 
Wandugu nahitaji Samsung galaxy S2,pia kwa mwenye display ya Samsung galaxy s4 anicheck wasap 0764729966 npo morogoro
 
ad36e3cbc63722cce4eeb58c5b17ccbf.jpg

Iphone 5 mpya kabisa full box kitu sturning kwa shili 550,000 tuu call 0786371108 sasa na ujipatie sim kwa punguzo la bei...
 
Nauza ipad ya apple kutoka u.s.a bei kuanzia millioni na laki saba.0762405614
 
Naitaji microsoft Lumia 950 XL Dual Sim. Mwenye nao anione pm
 
Back
Top Bottom