Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

natafuta Samsung galaxy s6 in mint condition... budget 500k ..
 
Mwezi mmoja tu umebaki kwa TCRA kufunga simu zilizo chini ya kiwango.

Kuwa makini unaponunua simu za promosheni,hasa msimu huu,utaskia huku na kule,mara gulio ,mara mobile plaza .
Tusilaumiane!
 
[quote uid=270028 name="YATC" post=16022751]Natafuta huawei P6[/QUOTE]<br />Uko wapi? Kama <br />[quote uid=270028 name="YATC" post=16022751]Natafuta huawei P6[/QUOTE]<br />Uko wapi? Kama uko dar njoo nikupe galaxy s2 ni kali kuliko p6. Tuwasiliane kwa 0653811003

Acha kudanganya wenzio wewe S2 simu ya miaka 4 sijui mitano iliyopita ilingane Na P6
 
ad36e3cbc63722cce4eeb58c5b17ccbf.jpg

Iphone 5 mpya kabisa full box kitu sturning kwa shili 550,000 tuu call 0786371108 sasa na ujipatie sim kwa punguzo la bei...
Kama unayo note 3 nichek tufanye biashara 0783104843
 
iPad apple inauzwa milioni na laki tano,nitafute pm
 
Mwenye iPad ambayo inasapot line ya simu na iwe na kamera pia anchek 0714896679
 
Back
Top Bottom