mukulupapaa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 2,930
- 1,733
Unazo ngapi uniuzie mkuuWatu tunauza hapa dar kwa 320,000/=
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unazo ngapi uniuzie mkuuWatu tunauza hapa dar kwa 320,000/=
J NIAJE?Habari zenu wanaJF, kwa wale ambao watahitaji simu aina za samsung, LG na iphones zote ni original kutoka South Korea. nitakuwa bongo December ya mwaka huu 2016. kama unahitaji nitumie pm inbox tuwasiliane kwa kuweka order yako.
zitakuwepo za bei ya chini kuanzia 250,000 na kuendelea. Laptops pia zitakuwepo njoo inbox tuwasiliane
Mkuu hiyo note 4 ni bei gani?
Mkuu mbona kimya hilo group???au ulitaka kutufanyia ile kitu akina fally banaitaga AmbianceeKwa atakae kuwa interested tuanzishe group la whatsapp ili kuboresha biashara zetu maana wengine tunaingia kwa nadra sna humu.
Ntumie msg whasapp 0716421233 nkuadd fasta.
Nnayo used,niko mbeya0767242454Jamani natafuta samsung galaxy Trend Lite duos... Mwenye nayo naomba anijibu ikiwezekana anipe namba nimcheki
Chukua 80 ya haraka mkuu.Kama upo tayari nicheki 0712484858Nina huawei y 530 inahitajika 100k "!
Nipo dar 0719538995
Niko dar mkuu...too badNnayo used,niko mbeya0767242454
Jamani natafuta samsung galaxy Trend Lite duos... Mwenye nayo naomba anijibu ikiwezekana anipe namba nimcheki
Bado ipo Mkuu iyo s5.?????S5 vipi?imetumika kdg kwa 300