Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Tecno w3 mpyaa na accessories zake 140000/= nimenunua ina siku ya nne ....
 

Attachments

  • 1475733767434.jpg
    1475733767434.jpg
    43.5 KB · Views: 57
  • 1475733778784.jpg
    1475733778784.jpg
    42.8 KB · Views: 56
  • 1475733786614.jpg
    1475733786614.jpg
    47.2 KB · Views: 54
HTC desire Eye imenyooka saana tu nataka hela kidogo...450k, ni 16GB, unaweka na xternal memory card, pia ni 4G lte. Call or text 0654776976 maelewano yapo
1475734143641.jpg
1475734152023.jpg
1475734159662.jpg
 
Tecno boom j5 120000 negotiable
 

Attachments

  • 1475735276112.jpg
    1475735276112.jpg
    15.3 KB · Views: 52
  • 1475735291617.jpg
    1475735291617.jpg
    20.1 KB · Views: 54
Wadau naweza pata wapi Complete screen ya hii simu yangu? nilizunguka kariakoo hadi nikachoka, kama kuna mtu anaejua au kama yupo anaeuza simu kama hii naomba tuwasiliane! kwa sasa niko Mwanza ila wiki mbili zijazo nitakuwa Dar!

ni HTC One Vx

htc.JPG
 
Nahitaji used sumsung toleo la J ,
Kuanzia j 2 na kuendelea.
Mwenye nayo nicheki 0784356521.
 
Natafuta NOKIA e72 au e6. Pia nauza LUMIA 630 kwa 150k na ASHA 302 kwa 60k, zote uhakika
# 0717606641
 
Samsung s4 (used) kwa laki 2
Au mwenye blackberry bold anipe na laki na hamsini 150,000
 
Back
Top Bottom