Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

NAHITAJI IPHONE 4S YA BEI RAHISI. IWE KATIKA HALI NZURI NA ISIWE NA TATIZO LOLOTE. KAMA UNAYO NICHECK KWA 0713672532.
 
Brand new Samsung note 2 pro, N705 Lte 4G USA version..zinauzwa.
Bei chee 380k
Zipo mpya we box.
0654776976
 
Nna tecno J8 naiuza 230 mwenye upepo aje tumalize mchezo ni nyeusi mpyaa ina wiki 3
 
nna 150k cash nahitaji simu yyt nzuri isipokuwa TECNO, ITEL na simu zingine zinazofanana na hizo..... nicheck kwa 0713672532
 
1478344202839.jpg
1478344219611.jpg
1478344256391.jpg
Mate 7 hyo mpyaa inataka 500,000 tu na ni line moja
 
1478344585033.jpg
1478344562001.jpg
1478344569281.jpg

Pentax Optio S12 MP12 digital camera with 3x optical zoom (Grey) inataka 200k tu na iko full na kila kitu chake (brand New)
 
Samsung galaxy s6 edge ina crack kwenye grass ya juu kama inavyoonekana hapo kwenye picha na inafanya kazi kama kawaida kwa 450k
Location Tabata segerea
Contact 0719094595
1478436294051.jpg
1478436297333.jpg
1478436300053.jpg
1478436309273.jpg
1478436312733.jpg
1478436315303.jpg
 
Ongeza 50 uje uchukue samsung galaxy j5, au galaxy note 2 pro ya 4G Lte full box. [HASHTAG]#0654776976[/HASHTAG]
We jamaa mbona siku hz huweki matangazo, iPhone 6 zimefika bei gani?
 
nina laki moja mtanipa simu gani ...isiwe ya moto mambo ya police sina pesa za kuhonga huko
0655404226
 
Back
Top Bottom