lil_nocran
Member
- Jul 10, 2014
- 46
- 18
Samsung j5,4g,16gb,good condition,300k. Sums 0689095488
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inavunjika au imevunjika?!LG Nexus 4
Internal Memory 13Gb tsh220000 Kwa nyuma inavunjika kioo fresh
Mkuu imetumika muda gani, rangi yake? Hiyo bei unapungua?Samsung j5,4g,16gb,good condition,300k. Sums 0689095488
Mkuu 400k unachukua?Samsung Galaxy s6 nauza
Newly condition,imetumika for 10 days only
Unapewa all accesories,
Earphones bado mpya hata hazijafunguliwa
price: *650k*
Whatsapp,text or call 0785706115![]()
![]()
Alhaj tecno Y4Laki moja naweza kupata simu gani?
Bei ya mkononi lakini
Tupia kapicha mkuuAlhaj tecno Y4
Tia namba nkutumie WhatsAppTupia kapicha mkuu
Ongeza uchukue S7 orijino.Natafta S6 edge plus. Nina 700.
Mwenye nayo anipm details zake nimpigie tuongee.
Ongeza ongeza mkuuChukua 800k mkuu
Chukua S7 original..ipo clean, kwa kila kitu..no mikwaruzo kila kitu kipo fresh na ipo kwnye guarantee ya 2yrs.Jaman mi nahitaj iphone 6 plus space gray, ambayo iko clean kwa kila kitu haina mikwaluzo, speaker, touch screen, system charger, vyote viwepo na viwe og kabsa Anichek kwa no. 0717211176 tufanye biashara......
Imeshindikana kabisa kutuma picha hapa mkuu?Tia namba nkutumie WhatsApp