nusuhela
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 5,915
- 7,210
Una shingap?Natafuta Samsung Galaxy S6 edge iliyovunjika screen but everything else works.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una shingap?Natafuta Samsung Galaxy S6 edge iliyovunjika screen but everything else works.
Hapana, mimi nataka hiyo tu.Ongeza uchukue S7 orijino.
Haijashindikana mkuu, nakuwekeaImeshindikana kabisa kutuma picha hapa mkuu?
Ujue nini kuna mtu nataka kumuuzia simu yangu sasa nataka nitoe laki ninunue simu nyengine, fanya hivyo nikiielewa naichukuaHaijashindikana mkuu, nakuwekea
Ujue nini kuna mtu nataka kumuuzia simu yangu sasa nataka nitoe laki ninunue simu nyengine, fanya hivyo nikiielewa naichukua
Poa nimeiona nitakujulisha
Chukua S7 original..ipo clean, kwa kila kitu..no mikwaruzo kila kitu kipo fresh na ipo kwnye guarantee ya 2yrs.
1.1m
Nokia ya tochi nakurudishia na chenji elfu 50Laki moja naweza kupata simu gani?
Bei ya mkononi lakini
Kama uko serious, ongeza hapo nikupe simu.Chukua 900 mkuu tumalize biashara
Kama uko serious, ongeza hapo nikupe simu.
Navokuambia ipo kama mpya ipo.kama mpya kweli. Sikupigi sound nikupotezee time yako uje ukute nina maneno mengi.
Hapana. Simu ni very clean, haina ata mkwaruzo mmoja mana ipo kwenye protector...
Nakupa na risiti niliyonunulia mimi na waranti kadi ili kukuonesha sio magumashi.
Karibu
Jisachi vizuri afu niambie. Ngoja nkupe muda..kwnye 900 ongeza kidogoDah basi sio riziki mkuu, maana uwezo wangu umeishia hapo
Jisachi vizuri afu niambie. Ngoja nkupe muda..kwnye 900 ongeza kidogo
Ok Uko tayari lini?Hapo nimetoboa mifuko, siwezi kupanda zaidi mkuu. Anyway thanks
Ok Uko tayari lini?
Uko wapi?Hata leo
Unauza ngapiIphone 6 bei maelewano
0626658983