Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sound miingi kumbe unatamani hiyo mia sabaUko wapi?
WhatsApp mwisho June kwa simu za blackberry au wamebadilishaVunjabei Matelephones
BlackBerry Priv
Ipo na accessories zake
Bei 900k
Cont:0654776976.
View attachment 461124View attachment 461125View attachment 461126View attachment 461127View attachment 461128
iPhone 4 iko katika hali nzuri, bei 400,000/= fixed. If you are interested nichek PM
Sound nilikupiga ww ama dada ako sasa? Maana hamna nilipotamani 700. Ingekua simu ya wizi ningeuza ata 200. Lakini sio hii.Sound miingi kumbe unatamani hiyo mia saba
Nashangaa umekomaa na mshikaji aongeze mshiko kumbe mia saba tayari ipo kwenye damuSound nilikupiga ww ama dada ako sasa? Maana hamna nilipotamani 700. Ingekua simu ya wizi ningeuza ata 200. Lakini sio hii.
Punguza mshindoNashangaa umekomaa na mshikaji aongeze mshiko kumbe mia saba tayari ipo kwenye damu
Kapigwa pesaDuuh..... hiyo pesa uliokota??!!..
350k inatoka mkuu?![]()
![]()
![]()
![]()
OnePlus 2 used,bei 400,000 .
0655366488