Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

IPHONE 4S

CLEAN CONDITION
IPHONE 4S
GB 32
PRICE 200,000
PHONE COMES WITH CABLE
0654766056 [emoji338]
NO EXCHANGE DEALS
4b36b3b948304f95cec69810ed6a7e54.jpg

20a7bb9dac9df4e4f12ab11d54b5e9e5.jpg
 
NEWLY CONDITION
SAMSUNG S7 EDGE (DOUS)
GB 32
PHONE COMES WITH
BOX AND CHARGER
BEI _______________750,000
0654766056 [emoji338]
bac5959cd69fe1f640786535b307a97b.jpg
4e1f8c1f859fba2b70561727c2e23ad8.jpg
 
Samsung Galaxy Note 8 [emoji336]
64 GB
Full box sealed [emoji403] [emoji403]
Price. Tsh 2,300,000/=[emoji385] [emoji385]
Contact 0659254488 [emoji337]

For sale ...Only Serious Buyer Needed
 
Mwenye IPhone 6 GB 64 brand new. Ofa yangu 700k
 
Nina iphone 5 32gb nahitaj kuexchange na mweny samsung j7 prime..naongeza na pesa .tel 0752657649-- bei ya iphone pekee nauza sh 290k
 
gb 64 natak 800
Ofa yangu ni 700k na iwe new brand mkuu. Laki ya kuongeza sina, kama ni new brand na hiyo pesa inakulipa nipm namba yako tumalize biashara
 
Nina bajeti ya 300-350
Nahitaji simu isipokua tekno.

Iwe na battery angalau 3000mAh
Storage 16 GB
Camera kuanzia 8MP
Screen size kuanzia 4.5 inches
Ram kuanzia 1GB>>

Niko Korogwe Tanga
Njoo pm kama unayo simu hiyo iwe mpya au used but hali nzuri
 
Habari za Asubuhi!!kwa wale wenye simu za vodafone,Alcatel na zte model hizi 1. Smart tab 3g 2. Vfd 200 & 300,301 3. Vf 685,785 & 875 kuna offer kabambe ya kuunlock network unlock code kwa njia ya server gharama yake ni Tsh 7000 kwa bei ya offer inatakiwa imei #,model namba na malipo ya hiyo huduma ndani ya dakika 15 baada ya kupokea malipo unakuwa umepata network unlock codes zako na zinafanya kazi kwa 100%..pia tunatoa huduma za kuunlock network lock za simu,modem na Router za aina mbalimbali kwa bei nafuu..Pia kwa wale wenye uhitaji kuunlock network lock,kuondoa google account lock,kuondo pattern na code,kwa simu za samsung, Huawei, Tecno,Alcatel,magnus bravo,Vodafone,ZTE na n.k Kwa njia ya direct unlock kwa usb/ remotely (unatakiwa uwe na computer,usb cable,chanzo cha mtandao na driver za kifaa chako the rest tunafanya wenyewe inachukua dakika 10-30 inategemeana na speed ya mtandao.(gharama yake inategemeana na Simu na tatizo)
Kumbuka umbali sio limit hiyo kazi inafanyika mahali popote ata ukiwa ulaya
Wasiliana nasi
#Text/call/whatsapp 0712842283
FB Group:Se connecter à Facebook | Facebook
FB Page:https://web.facebook.com/Street-Winner-Computer-solution-2…/
Instagram:Streetwinner Mobileand Computersolution
Pia usiache kulike na kujoin page zetu kutakuwa na mafunzo mbalimbali,punguzo na offer mbalimbali za huduma zetu kwa wateja wetu na pia kutakuwa na utatuzi wa matatizo mbalimbali kwa wale watakaoyaleta..
 
Hallow wana JF, weka picha, mahali ulipo, contact zako na specifications za device yako.

Nauza infinix note 3 used BT IPO kwny good condition imetuka miez mitatu nakupa na fast charger yake nipo kigamboni mawasiliano 0757341676 bei 320000
 

Attachments

  • Screenshot_20171002-141448.png
    Screenshot_20171002-141448.png
    143.2 KB · Views: 69
  • IMG_20171002_220716.jpg
    IMG_20171002_220716.jpg
    184.6 KB · Views: 72
Back
Top Bottom