Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Nauza iphone 6 plus
16gb storage
Silver color
Clean condition
Call 0687418838,0653316087,0753063142
IMG_8143.jpg
 
Wapi ntapata mtaalamu wa kubadilisha kioo cha mbele cha iphone 7 plus, nahitaji rangi nyeusi na siyo hii nyeupe iliyopo
2c5e3a24e73468e75970df940878cadf.jpg
777154a2d75760f94a04bd5ec1dd4ae0.jpg
 
htc one m8 haina tatizo zaidi ya mikwaruzo kidogo kwa nyuma

ram 2gb
32 phone storage

bei:200000

maelezo zaidi njo pm
 
Jamani tuwe makini na simu za kununua mikononi mwa watu.
Kuna mchezo unaendelea ambao kiukweli sio mzuri.

Mtu anakuuzia simu leo. Unakaa nayo hata miezi minne. Baadae unafuatwa na polisi kuwa simu ni ya wizi.

Tuwe makini. Mimi yamenitokea. Nilinunua samsung s6 edge yenye crack kwa sh 370000. Baada ya kukaa miezi 4, nikafuatwa na polisi
Kweli kabisa mkuu mi mwenyewe nilitaka kula mkenge maeneo ya mabibo chuo(NIT)
 
Nina bajeti ya 300-350
Nahitaji simu isipokua tekno.

Iwe na battery angalau 3000mAh
Storage 16 GB
Camera kuanzia 8MP
Screen size kuanzia 4.5 inches
Ram kuanzia 1GB>>

Niko Korogwe Tanga
Njoo pm kama unayo simu hiyo iwe mpya au used but hali nzuri

Tekno msanii mkuu ni zinaitwa Tecno boss wang samahani
 
Offer ! Offer !offer
ZANZIBAR GENERAL SUPPLY
wanakuletea punguzo la bei katika Msimu huu kama ifuatavyo!

Pata LG au SAMSUNG 43 Inches Led Smart Tv for only 450,000 tshs

[HASHTAG]#specifications[/HASHTAG]
.HDMI SUPPORT
.Built decoder
.wifi support
.usb ports etc

Tunapatikana Malindi mjini Zanzibar

[HASHTAG]#Wakazi[/HASHTAG] wa Zanzibar unaletewa popote ulipo bure/Tanzania bars tunatuma baada ya malipo kwa usalama na uaminifu mkubwa.

#NB one year warranty
[HASHTAG]#cont[/HASHTAG] 0712986773
 
Back
Top Bottom