Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Asa mbona kila mtu muuzaji humu wanunuzi hamna kbsa
 
NAUZA SIMU AINA YA
Tecno CX air
Bei 250,000/=(250k)fixed
Clean condition.
Imenyooka kabisa CONTACT me 0659254488

Hope saa nne haifiki [emoji1] [emoji1]
 
NAUZA TECKO W3 KWA 100,000/= TU IPO KATIKA HALI NZURI IMETUMIKA MWEZI MMOJA NA NUSU TU.. NIPO DAR LAKINI JUMAAPILI KITAKUA MBEYA
 
Offer ! Offer !offer
ZANZIBAR GENERAL SUPPLY
wanakuletea punguzo la bei katika Msimu huu kama ifuatavyo!

Pata LG au SAMSUNG 43 Inches Led Smart Tv for only 450,000 tshs

[HASHTAG]#specifications[/HASHTAG]
.HDMI SUPPORT
.Built decoder
.wifi support
.usb ports etc

Tunapatikana Malindi mjini Zanzibar

[HASHTAG]#Wakazi[/HASHTAG] wa Zanzibar unaletewa popote ulipo bure/Tanzania bars tunatuma baada ya malipo kwa usalama na uaminifu mkubwa.

#NB one year warranty
[HASHTAG]#cont[/HASHTAG] 0712986773
Vp kuhusu home theater
 
Back
Top Bottom