Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Note 1..bei 150000/=....second hand UK hapa aijatumika kabisa zaid ya kuitest tu...good condtion ni km mpya..0629565168
9f56d44d2014bd424e672cbf38df75c1.jpg
6855e06e939172b26c53732511b20122.jpg
b45c706a832d5b0bda863fd19feb48f4.jpg
879c80d376052f87affa8cfdb713b17b.jpg
Kama uko tayari 100,000/= tunaweza kufanya biashara hata leo kiongozi. Mie nipo Dar maeneo ya Kigamboni
 
NAUZA TECKO W3 KWA 100,000/= TU IPO KATIKA HALI NZURI IMETUMIKA MWEZI MMOJA NA NUSU TU.. NIPO DAR LAKINI JUMAAPILI KITAKUA MBEYA
Ebu nichek nahitaji Tecno w3 iwe fullbox Hata used
Njoo inbox na Bei kabsa 0743586474 me Niko dar
 
mkuu ungweka bei kwa baadhi ya bidhaa zinazopatikana zanzibar ili wateja waone kama kuna unafuu
Unafuu upo,
Lkn kumbuka ukitaka bidhaa ndio naifuatilia nakupa bei ukipendezwa nayo tunafanya biashara ambapo malipo Ni baada ya kupata mzigo wako
 
Back
Top Bottom