Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Samsung Galaxy tab A 8.0 model Sm-t355 4g+Wi-Fi 16gb ina Android 7.1 Nougat bei 330000 inapungua kidogo. Tablet bado ipo fresh. Tablet ipo Moshi,KILIMANJARO.
 
80f98fbe1a9bcef6c26d0329f92959f1.jpg
wadau ili nisipigwe hapo kko Na wajanja wa mjin, nisaidien hii Simu inauzwa sh ngap, Na Ni kwel inakaa Na chaji muda mrefu Kama wanavyodai?
Inakaa chaji sana ina 4000Amh ina power bank. Ikiwa unasmart phone na imeisha hii inauwwzo Wa kujaza chaji fasta tu. Mm nauza 2000 ni sawa na 60000 za magufuli.
 
w4 imepasuka kioo sema inafanya kazi vzuri tuu....nko dsm bei yake 85 elf za kitanzania
 
Nina unlocked Samsung Galaxy S4 (SGH-I337)

Internal Storage Space - 16 GB (+ microSD Slot Expandable up to 64GB)

RAM - 2 GB

13 Megapixel Camera

Originally ilitumika kwa mtandao wa AT&T huko Marekani. Iko kama mpya na haina tatizo.

Bei - 400,000/=

Tuwasiliane 0762-688-222
najiuliza utamuuzia nan kwa bei io
 
Samsung s4 inauzwa
Memory :gb 32
Ram: 2gb
Bei:200000

Kama uko interested njoo PM
 
Back
Top Bottom