Gtt
Senior Member
- Apr 22, 2017
- 128
- 123
IpoBado ipo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
IpoBado ipo?
Picha je?? Tangazo ni lazima liwe self explanatory. Picture paints a thousand wordsNauza iphone 5s silver ina kioo cheupe. Finger prints inafunction fresh! Bei 300. Location sinza dar... PM if interested.
It's staggeringly apodeictic buddy.Kwa mtazamo wa watu wanaopenda smartphone nzuri kama hutoweza kununua flagship yoyote ya samsung sio simu nzuri na hata kwenye kununua simu yoyote ya samsung kwa jinsi wanvyoidevide market kwenye vipande vipande ukichemka unakula samsung low quality Kuna samsung zenye model yenye herufi tambulishi tofauti tofauti
F- Global version ukiwa na hii ndiyo global standard
T- Kwa watumiaji/wateja wa USA
M-
H-
D-
Hizi nyingine ndiyo watanzania wapo nazo
Kama unawez kununua highend samsung smartphone ni vizuri ukanunua iPhone simu inatumika New York City ndiyo hiyo utakayoikuta Nanjilinji
nahitaji mojaSamsung s6 edge gold in colour
Status Brand new full boxed
Memory(ROM) 128 gb
Ram 3gb
Size 5.1 inches
Battery 2600mAh
Network 4g LTE
Price 650k (not fixed)
![]()
![]()
You may reach us through
0652332255
0739332255
Karibu mkuu.nahitaji moja
So unataka kusemaje..!?Kwa mtazamo wa watu wanaopenda smartphone nzuri kama hutoweza kununua flagship yoyote ya samsung sio simu nzuri na hata kwenye kununua simu yoyote ya samsung kwa jinsi wanvyoidevide market kwenye vipande vipande ukichemka unakula samsung low quality Kuna samsung zenye model yenye herufi tambulishi tofauti tofauti
F- Global version ukiwa na hii ndiyo global standard
T- Kwa watumiaji/wateja wa USA
M-
H-
D-
Hizi nyingine ndiyo watanzania wapo nazo
Kama unawez kununua highend samsung smartphone ni vizuri ukanunua iPhone simu inatumika New York City ndiyo hiyo utakayoikuta Nanjilinji
Elimu yangu yote ya saint Kayumba,It's staggeringly apodeictic buddy.
However mediocre consumers ain't even bother to be acquainted with it.
We do import F versions for solely Exclusive customers who can top some pennies up.
[emoji85]
Hahhaah you must be pulling the legs of fellas here just for the sake of chaffling around.[emoji1] [emoji1] [emoji23]Elimu yangu yote ya saint Kayumba,
Sijaambulia kitu.