naomba namba mkuu tufanye biasharaTecno K7 tsh 170000 na tecno Cx air tsh230000
NB bei sipunguzi Simu ni brand new
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naomba namba mkuu tufanye biasharaTecno K7 tsh 170000 na tecno Cx air tsh230000
NB bei sipunguzi Simu ni brand new
mkuu mimi samsung yangu s4 ina namba SHV-E330L hii ina maana gani??Kwa mtazamo wa watu wanaopenda smartphone nzuri kama hutoweza kununua flagship yoyote ya samsung sio simu nzuri na hata kwenye kununua simu yoyote ya samsung kwa jinsi wanvyoidevide market kwenye vipande vipande ukichemka unakula samsung low quality Kuna samsung zenye model yenye herufi tambulishi tofauti tofauti
F- Global version ukiwa na hii ndiyo global standard
T- Kwa watumiaji/wateja wa USA
M-
H-
D-
Hizi nyingine ndiyo watanzania wapo nazo
Kama unawez kununua highend samsung smartphone ni vizuri ukanunua iPhone simu inatumika New York City ndiyo hiyo utakayoikuta Nanjilinji
Ujazo wa betri ni kiduchu sanaSamsung galaxy note edge full boxed for sale.
Colour : Homozygous black (kama Baraka [emoji23])
Memory: 32 gb
Ram 3 gb
Camera 16 mp
Size (screen) 5.6 inches
Battery 3000mAh
Price 420k (Kujitetea kiduchu imooo)
Contacts 0739332255 or 0652332255
We bring the product to your door step.
![]()
![]()
Simu nzurina bei pia ila kweye betri Samsung wanazinguaOffer Offer Offer
Samsung Galaxy s6 all colors available for sale
Full boxed.
Memory (Rom) 32 gb
Ram 3 gb
Size (screen) 5.1 inches
Camera 16 mp
Network LTE 4G
Battery 2550mAh
Price 400k
Contacts 0739332255 or 0652332255.
Tupo Ilala pia Aggrey st k/koo.
Say bye bye to Tec....No werevaaa
![]()
![]()
![]()
Chech me through,habari wakuu nna shida na simu isizid 200,000 npo dar, mwisho kesho jioni, nimeingia kupatana.com naona sipaelewi
simu ya aina gani, tsh ngap? pctr zake pia, then ndo nikutafuteChech me through,
0652332255 or 0739332255
Kuna a friend of mine anauza Samsung galaxy mega 4 ni ya kwake wenyewe.simu ya aina gani, tsh ngap? pctr zake pia, then ndo nikutafute
Techno C9 230000 ila ipo Dodoma Area C 0658-154647habari wakuu nna shida na simu isizid 200,000 npo dar, mwisho kesho jioni, nimeingia kupatana.com naona sipaelewi
Tecno c8habari wakuu nna shida na simu isizid 200,000 npo dar, mwisho kesho jioni, nimeingia kupatana.com naona sipaelewi
Ilitengenezwa mahsusi kwa ajili ya kutumiwa korea kusini tumkuu mimi samsung yangu s4 ina namba SHV-E330L hii ina maana gani??
Duh ndio maana ina 4G lakini haipandi ....Ilitengenezwa mahsusi kwa ajili ya kutumiwa korea kusini
Shukrani
Nahisi ila sina uhakika Jaribu ttcl au smart 4gDuh ndio maana ina 4G lakini haipandi ....