Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Kuna 200k hapa inatafuta simu mpya mwenye kuridhika na bei ni pm
 
Samsung j7 prime Gb32 RAM 3 mpya but ina krk kidogo bei 300k fixd niko dar kwa anayetaji inbox
9e0fda2907340aca006626e4556cca86.jpg
aec9ddab40810c29c582dd93efaf7b1b.jpg
3ac5c90b1faa86a216c28a5e7099f699.jpg
ad03046781f8dd1ebed25faec0cc2dd2.jpg
74f95b0d432f0ddc80daf387692a889d.jpg
0c23a55a96163bddd131ea6533f5198c.jpg
Ongia inbox
 
Mvua za Dar hazijawahi Tuacha waganga njaa salama duh.[emoji85]
Isiwe tabu nauza ki iphone changu kishingo upande.

Iphone 5s 32 gb
Condition Clean like new with neither scratches nor dents.
Colour gold
Memory 32 gb
Fingure print (wee na dole lako tuu mkuu)
Network 4g LTE
1d08d1526a739b47931b3d5a09f82756.jpg


Price 330k (330,000/-)
Alaf kuna watu wasio na huruma watataka bado wapunguziwe[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nahitaji hizi simu kwa pamoja, zisiwe na shida yeyote pamoja na accessories zake na very minor scratches au none at all!

Tecno J8 Max 160000
tecno W5 Max 160000
Samsung galaxy grand prime plus Max 170000
samsung Note 3 Max 220000

call/text
 
huawei Y541-u02 inauzwa 120,000/- au exchange na Samsung Note 2 naongeza na pesa...


Njoo whatsapp 0652105601 nipo mwanza
images.jpeg
 
Tecno Camon Cx mpyaaa kabisa inahitaji 320,000 inakuwa yako.
Ina 16 Gb internal memory
Camera 16 Megapixel mbele na nyuma
4G network ina support
Fingerprint
Adroid ni 7.0
Kioo kikubwa na picha ang'avu
Kama vp njoo pm au 0713 333078
1695d378a9dabd419827e931ae4796c7.jpg
 
Naitaji tecno CX or W5 or C9 nakupa account ya insta yenye 31k 10.1k 10.5k pamoja na sh elfu 35 na simu ndogo [emoji125] [emoji125] [emoji125] nko sirious

0674250886 whatsap

. Location mwanza
 
Nauza cm toka China in jamii ya oppo ina GB 128 ram six GB bei 400000
 
Back
Top Bottom