Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Wasalam wakuu.
Mzigo uliopo stock.

Samsung galaxy note 4 black and white colours
Memory 32
Price 390k.

Samsung galaxy note 5
White and dark blue
Memory 32 gb price 580k
Memory. 64 gb Price 640k

Samsung Galaxy note Edge
Colour black and white.
Memory 32 gb
Price 450k

Samsung Galaxy s6
Colours gold, dark blue and white
Memory 32 gb 440k
Memory 64 gb 480k

Samsung Galaxy s6 edge
Colours gold, dark blue and white.
Memory 32 gb 530k
Memory 64 gb 570k

Samsung Galaxy s6 edge plus
Colour dark blue, gold and silver.
Memory 32 gb , price 580k
Memory 64 gb, Price 650k.

Tupo Ilala, pia Agrey st K/koo lakini kubwa zaidi tunafanya free delivery kwa Dar.
(Mkoani mtume mtoto wa mjomba aje kuchukulia).

Contacts 0652332255 or 0739332255.
Karibuni
Mnaposema 2000k mnamaanisha nn
 
Nina hitaji Samsung J7 pro au Samsung s7,S6edge,S7edge
Ila sharti lngu ni kuwa mtu huyo tufanye naye malipo baada ya kuupokea mzigo,awe mwanza musoma, Tarime,bunda,Serengeti n.k sehemu za kanda ya ziwa kama uko mbali unaweza mtumia ndugu yako anayepatikana mitaa hiyo nije niikague nilipie
N.B Hakuna ubabaishaji kama simu yako haitakuwa na kasoro utakazoniambia kama clone sema clone,
Offer yako ni ngapi kwa S6 edge?
 
Mzigo huo hapo...
Galaxy note 8
Price ni 1.5M
Location = Tabata
Unapewa accessories zake zote na mzigo unauchukua ndani ya Box
20180317_143645.jpg
20180317_143638.jpg
20180317_143636.jpg
20180317_143632.jpg
 
Wakuu kwa baheti ya 250k napata simu gani ya 4G ?
*Battery 4000+mAh
*Screen 6+inch
 
Tecno Camon cx bei poa
Ni simu yenye uwezo mkubwa sana
Display: 5.5 inch IPS

Resolution: 1080 x 1920 pixels

Processor: 1.5GHz Octa core MT6750T processor

GPU: ARM Mali-T860 MP2 650MHz GPU

RAM and Storage: 2GB RAM with 16GB internal storage

Rear Camera: 16MP Sony IMX298 back camera with ring flash (4 LED flash)

Front Cameras: 16MP front camera with dual LED flash and wide angle 120-degree selfies

Expandable Storage: Yes

Battery: 3200mAh

USB: Micro USB

Android Version: Android 7 Nougat with HiOS

Security: Fingerprint Scanner

Picha safi kabisa hata kama usiku wa giza kwa frash kali kabisa.
Mawasilinao 0713 333078
Ipo dar
FB_IMG_1516735697604.jpg
FB_IMG_1517173112678.jpg
 
Tecno Camon cx bei poa
Ni simu yenye uwezo mkubwa sana
Display: 5.5 inch IPS

Resolution: 1080 x 1920 pixels

Processor: 1.5GHz Octa core MT6750T processor

GPU: ARM Mali-T860 MP2 650MHz GPU

RAM and Storage: 2GB RAM with 16GB internal storage

Rear Camera: 16MP Sony IMX298 back camera with ring flash (4 LED flash)

Front Cameras: 16MP front camera with dual LED flash and wide angle 120-degree selfies

Expandable Storage: Yes

Battery: 3200mAh

USB: Micro USB

Android Version: Android 7 Nougat with HiOS

Security: Fingerprint Scanner

Picha safi kabisa hata kama usiku wa giza kwa frash kali kabisa.
Mawasilinao 0713 333078
Ipo darView attachment 718650View attachment 718651
bei
 
Back
Top Bottom