Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Nahitaji wa kubadirishana nae simu ninayo galaxy j7 nina hitaji iphone 6s.
 
Asante mkuu natafta C7 pro cio C9
Ninayo c7 pro

64GB
IMG_20180330_103628.jpg
IMG_20180330_103649.jpg
IMG_20180330_103535.jpg
 
Nauza iPhone 7plus 128GB mpya cjaitumia toka imeletwa full equipment bei 780000 tu kama unahitaji njoo Dm
IMG-20180429-WA0002.jpg
 
Nauza simu yangu mimi mwenyewe Tecno camon C9 ambayo niliinunua dukani receipt yake pamoja na box vipo simu haina Tatizo lolote na haijawah kufika kwa fundi

Specifications za simu
Camera ya mbele 13MP
camera ya nyuma 13MP
Ram 2GB
Storage 16GB
Rangi ya silver

BEI Tsh225,000/=

Namba yangu ni 0712936073 niko Dar es salaam.
tapatalk_1521529846934.jpeg
tapatalk_1521529825315.jpeg
tapatalk_1521529811437.jpeg
 
Wakuu nahitaji TV 32" iwe na HDMI out na iwe na uwezo wa kusoma Dolby, DTS kwa Flash. Pesa ipo sio ya kubangaiza. Na kama una home theater yenye HDMI in yani naitafuta sanaaaaaaaaaaaaaa pesa ipo nawwza ghaili hata kununua TV ( Zingatia izo HDMI in/out) kama zipo port zote mbili poa au kama ipo moja lakini inafanyakazi interchangeably poa pia
Umepotea jukwaa
 
Tecno Tablet

Price - 220k, Negotiable

Location - Sinza

Contact - 0622543431
 

Attachments

  • IMG-20180502-WA0009.jpg
    IMG-20180502-WA0009.jpg
    69.6 KB · Views: 62
  • IMG-20180502-WA0008.jpg
    IMG-20180502-WA0008.jpg
    58 KB · Views: 69
  • IMG-20180502-WA0007.jpg
    IMG-20180502-WA0007.jpg
    77 KB · Views: 49
Back
Top Bottom