Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Kwa wale wanaotaka kwenda kununua Tecno CommonX ambayo sio Pro nawashauri wanunue Infinix X573 S,,nzuri sana sana sana halaf bei zimetofautiana 10k tu
 
S
HUAWEI 220 inauzwa, ni used, toleo la mwanzo kabisa, napatikana kilimanjaro, anayehitaji aniPM, bei 40,000 /=
IMG_20180503_101633.jpg
 
Nauza samsung S5
Best condition . Ina 16 gb ram 2 gb . Call 0787119969 . Whats app 0689800817
 
*3 mzukaaaaaaaaaaaaaaaaaaa*


NAWAPA TATU ZA MOTOOOOOOO


Iphone 7plus
32gb
Mate black
1,150,000
Phone+charger


Galaxy S8
64gb
Black
850,000
Full accessories

IPhone 6s
32gb
Space gray
580,000
 
*3 mzukaaaaaaaaaaaaaaaaaaa*


NAWAPA TATU ZA MOTOOOOOOO


Iphone 7plus
32gb
Mate black
1,150,000
Phone+charger


Galaxy S8
64gb
Black
850,000
Full accessories

IPhone 6s
32gb
Space gray
580,000
Hiyo s8 ni single SIM au Dual SIM?
 
Wakuu nahitaji Sony xperia XZ2 premium au L2 mwenye nazo kati ya hizo anipe bei
 
NAUZA SAMSUNG GALAXY S6
NI SIMU IKO SAFI SANA YAANI MPYAA
INA 32 GB . RAM 3 GB . NIPO DAR ES SALAAM .CALL 0787119969 OR WHATS APP ONLY 0689800817. BEI 360000 SHS
200ipo mfuko wa shati,au tubadilishane na laptop yangu,ukiridhia nichek 0625697394,nipo kimara mwisho
 
Back
Top Bottom