DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,983
- 11,857
kula 100k fasta kama upo tayari pmNauza Tecno phantom 6+ body nzima ila imeanguka kioo kina mpasuko bei 350k
Location: Dar es salaam
Mawasiliano nicheki pm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kula 100k fasta kama upo tayari pmNauza Tecno phantom 6+ body nzima ila imeanguka kioo kina mpasuko bei 350k
Location: Dar es salaam
Mawasiliano nicheki pm
Ahsante ila ulimbukeni acha..kula 100k fasta kama upo tayari pm
Ipo s7 edge mpyaNataka Galaxy s6 edge ,genuine na mpya full box
Mwenye nayo aje PM tuyajenge
Mkuu hiyo Home Theater bado ipo???Sony DZ 350 bado mpya ina miezi 4 unanipa sh.ngap? Dukani 650
iyo A3 bei gni??Pritty wa joseph Be specific, hio Samsung grand duos ni A3, A5, A7? Ili iwe rahisi zaidi tupia picha zake hapa.
Bei gan hii?nauza iphone 5s display yake imevuja wino lakini kioo kizima kabisa ...na sim nzma kabisa
nipo dsm
0765158387
130KView attachment 789029View attachment 789030
Nataka Oppo F7 Internal storage 64GB RAM 4GB..
Mwenye nayo aje tuyajenge.
Ipo oppo f5 youth
Budget ya 250K naweza pata simu ya Aina Gani wakuu