Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Asalaaaaaaam wakuu
Za siku nyingi , nilimiss sana Jf angalau sasa imerudi naenjoy maishaa kwa habr na updates mbali mbali

Km kichwa cha habari wakuu napenda kuuliza mtu ukitaka kufungua duka la cosmetics lile standard tuu la katii unatakiwa uwe angalau na mtaji kiasi gan????
Na ni masharti yapi au sheria ipi waga zipo za kufata pamoja na expenses zote za biashara hyoo ikiwemo lesen ya biashara
Nawasilisha wakuu mchango wako ni wa muhimu sana kwangu asante[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Cont: 0769939879
Tafuta maana ya wisdom...
 
Habari... ninatumia simu aina ya OPPO R8 107... Tatizo lake google play store haifunguki.. ukijaribu kufungua inakata.. Naombeni msaada tafadhali..
 
IPhone 6 s plus inahitajika haraka sana .. Kama unayo njoo PM
 
S7 edge imetumika two weeks kwa 780.000tuu haina tatizo lolote location kimara
 
Nokia 2, Duos, ina support 4G na ina 8GB, colour black, imetumika wiki 2 kil kitu kipo including accessories

Tsh. 315,000 tu
 
Nina Samsung J7 kioo kimepasuka ila inafanya kaz, bei 250k
 
Jipatie vioo vya samsung galaxy s5 vipyaaa, kwa bei rahisi. Malipo ni baada ya kuhakikisha kioo kinafanya kazi.

Bei: 170,000
Napatikana. DSM
Screenshot_20180725-204632.jpg
 
Ni single line boss wangu,
Even though huwa kuna duos chache sanaaa tena nyingi ni regional phones.
Hehe. Ukiwa na duos ya aina hiyo tunaweza fanya biashara. Napenda sana izi simu (zenye curved screen. Edge) lakn kuwa single line tuu kunanishinda
 
Back
Top Bottom