Rockefeller
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,209
- 2,243
Jamani kama kuna mtu ana Samsung galaxy S4 Zoom anitafute nimpe hela chap by haraka namba 0765885537
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo wapi boss?nina sumsung j7 ya mwaka 2017. still katika good condition.. bei laki tatu
bado huu mzigo upo?
Kwa bei hii kupata mteja ni mthihaniLaki nne na ishirini
Mzee baba hii kitu na bei yake poa sana..[emoji39]samsung S7 edge imetumika kama 2month ila ina kila kitu chake na ipo ktk good condtion sana...bei 550000/=View attachment 848277View attachment 848278View attachment 848279
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina J3 (2016) ina hali nzuri sanaMwenye simu ya 200k aitupie hapa.
wapatikana wap mkuu!!! nicheck 0763976109Nina J3 (2016) ina hali nzuri sana
Mkuu hiyo laki mbili au milion?Iphone 5s
16gb
Fingerprint [emoji736]
270000
0692947079View attachment 871895View attachment 871896View attachment 871897View attachment 871898
Mzee kila kona upo😂Nikupatie nokia 6 uniongeze 150k
Mzee kila kona upo[emoji23]
Nikupe "K" ngapi na J3 (2016) uniachie hiyo Nokia 6.
Nimekukubali mzee wa kazi. ..Unfortunately nshauza nokia 6. Ipo note 5. Nataka 450. Ukinipa na ya kwako j3 unaongeza 220.