Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

HTC DESIRE EYE
STORAGE 16GB
RAM 2
CAMERA 13MP LED FLASH
SELFIE CAMERA 13MP LED FLASH
BEI 200000
Screenshot_20181114-111856.jpeg
Screenshot_20181114-111843.jpeg
Screenshot_20181114-111800.jpeg
 

Attachments

  • Screenshot_20181114-111856~2.jpeg
    Screenshot_20181114-111856~2.jpeg
    21.9 KB · Views: 36
Tecno w4 iko vzur haina tatzo lolote. Ram 1 gb memory ya ndan 16 gb camera nzuri knoma. Bei 140000 nicheki whatsapp au piga 0744101064 npo mwanza
 
Wakuu natafta infinix note5 ama infinix note3 pro muuzaji njoo tuelewane bei
 
IMG_0925.JPG
IMG_0927.JPG



Iphone 5s 16gb
Fingerprint OKAY
Bei ni 260k
Location Tabata kinyerezi
Nicheck 0763976109
 
M nimeelewa ulichomaanisha, ukweli n kwamba n zaid ya hatari, na uhatari mkubwa upo kwenye suala la kiusalama na si ubovu wa simu,
Waliowah kukutwa na hili janga au walioshuhudia kwa mtu kama nilivyoshuhudia ndo watakuelewa.

Kama hamna jinsi basi jitahd akupe na reset aliyonunulia na mkabidhiane kwa maandishi na sahihi na ikbd yarekodiwe hata kwa video,
Waweza uone n uzwazwa au kupoteza mda ila likitokea la kutokea utajuta,
Mimi asahv hata USB kwa mtu sinunui bila kujirdhsha kama ni salama na nitabaki salama
Sasa mkuu mfano humu jukwaani nimependa mzigo mm nipo mbeya mwenye sim dar itakuwaje hapo mana yake nifunge safar mkuu niende tukaandikishane huko.au ww unashaur nn hapo kulingana na tahadhali yako???
 
Sasa mkuu mfano humu jukwaani nimependa mzigo mm nipo mbeya mwenye sim dar itakuwaje hapo mana yake nifunge safar mkuu niende tukaandikishane huko.au ww unashaur nn hapo kulingana na tahadhali yako???
ahaaa, basi akutumie picha ya kitambulisho na reseat yenye jina la kwenye kitambulisho uhifadh pamoja na kuhfadh msg za makubaliano ya biashara au screenshot ya msg muhm, kama hana kimoja hasa reseat basi akutumie video akikiri kukuudhia bidhaa husika bila kusahau model na bidhaa nayo ionekane kwenye video, tulimchangia rafk yetu 7M na yeye akamaliza assets zote kwa mistake ndogo tu ya kununua s6 egde ya wizi, nimeshuhudia kesi si chin ya tatu za namna hio
 
Anayehitaj kuna tecno cx camon haina tatzo lolote lile kwa 220k nicheki pm

Location kawe
 
Back
Top Bottom