kalendi
JF-Expert Member
- Mar 17, 2012
- 1,334
- 527
Kuna laki mkuu!150k mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna laki mkuu!150k mkuu
Ipo Samsung note 2, 4G laini mojaNina 200000 nahitaji cm ambayo iko poa hasa samsung au nokia
Uwezo wake ukoje na je vp kuhusu kutunza chaji?Ipo Samsung note 2, 4G laini moja
View attachment 966048
Uwezo wake ukoje na je vp kuhusu kutunza chaji?Ipo Samsung note 2, 4G laini moja
View attachment 966048
Ipo safi kila kitu chaji hata kutwa itategemea matumizi mkuu bei ni 220KUwezo wake ukoje na je vp kuhusu kutunza chaji?
Ok asante mkuu dau langu nazani ulilionaIpo safi kila kitu chaji hata kutwa itategemea matumizi mkuu bei ni 220K
Miaaa ipo Dom ikipendezaOk asante mkuu dau langu nazani uliliona
Aina gnMiaaa ipo Dom ikipendeza
mawasiliano zaidi 0672727316LG NEXUS 5X inauzwa simu ina 32 gb, ina support 4G, ina ram GB 2, kamera kali sana bei yake ni 250,000View attachment 966254View attachment 966255View attachment 966256View attachment 966257View attachment 966258
Note 2Aina gn
**INAUZWA**
SONY EXPERIA Z3
Display 5'2 | ram 3gb
Network 4G | Storage 32gb
Camera 20.7mp LED Flash
Ina Grove mode
(una touch hata kama Umevaa groves)
Battery 3100mAh
Price 220kView attachment 966787
I phone 5s for sale new fullbox
Location dar free delivery
Call 0621011713/ 0653353233
Mi najua iphone ina picha kali maybe utueleze ni simu ipi