What do you mean by "mpya"? Kwamba bado ipo kwenye box lake, au?! Unaonaje basi ukiweka na pic yake pamoja na specs?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
What do you mean by "mpya"? Kwamba bado ipo kwenye box lake, au?! Unaonaje basi ukiweka na pic yake pamoja na specs?
uko wapi mkuu? ni PM namba yako tufanye biashara
Mwenye iPhone 6s Plus kuanzia gb 64 nahitaji
Offer 550k
0620480541
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo tabata call 0788318770uko wapi mkuu? ni PM namba yako tufanye biashara
I mean haijatumika 0788318770What do you mean by "mpya"? Kwamba bado ipo kwenye box lake, au?! Unaonaje basi ukiweka na pic yake pamoja na specs?
Naulizia simu kwa sababu sina simu; kwahiyo badala ya kuniwekea namba yako ya simu, ambacho ulitakiwa kufanya ni kutoa maelezo yanayohusu hiyo simu unayouza hapa!!
Ya mwaka ganiSumsung A7
Finger print
Ram 3gb
Internet 4g
Storage 16gb
*Bei 290,000/=*[emoji179]
0716321462View attachment 1027515View attachment 1027516View attachment 1027517
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo kwa 700kMwenye iPhone 6s Plus kuanzia gb 64 nahitaji
Offer 550k
0620480541
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina150,000/- nahitaji LCD ya Samsung Galaxy Note 4, mchina au used.Hallow wana JF, weka picha, mahali ulipo, contact zako na specifications za device yako.
Mkuu nilinunua grand prime siku ile ile
Nipe laki 2 nikuuzie galaxy note 4 kabisa simu ipo kwenye hali nzuriNina150,000/- nahitaji LCD ya Samsung Galaxy Note 4, mchina au used.
Kama unayo nichek ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipe laki 2 nikuuzie galaxy note 4 kabisa simu ipo kwenye hali nzuri
Sent using Jamii Forums mobile app