Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Mwenye 6s plus yenye reactivation lock (icloud lock) au labda ina matatzo mengne lakin kioo na body viko sawa. Anicheck inbox kwa Biashara. 0763976109

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani natafta smartphone yoyote ya 60k Mwenye nayo anistue pm
Tafute 80k nikuuzie samsung galaxy trend ll mpya kabisa
1550779531851.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu Nina laki na Nusu 150,000 nahitaji simu used ila iwe katika Hali nzuri nA isiwe imetumika Sana au mbovu .
NB Nipo songea ikiwa Samsung itapendeza zaidi
Nicheki pm kama unayo
 
Wakuu Nina laki na Nusu 150,000 nahitaji simu used ila iwe katika Hali nzuri nA isiwe imetumika Sana au mbovu .
NB Nipo songea ikiwa Samsung itapendeza zaidi
Nicheki pm kama unayo

Ongeza 100 iko grand prime pro 2018 new
 
Back
Top Bottom