Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Natafuta iphon 5s yenye icloud iliyonyooka mwenye nayo tufanye biashara
 
images(4).jpeg
watu wanauziwa sana copy ya hizi simu k.koo, kueni makin kuna copy zake nyingne zinamuonekano wa OG kbsa na sikuhz wanaziweka kwenye original boxes wakidai ni sealed, ukijitahd sana kuongea bei kwa OG haishuki 90k, pale kwenye show yaweza iwekwe OG ila wakikuambia ngoja ukaletewe ndio utumie akili yako vzr,

KITU AMBACHO NILIKUA SIJUI NI KUMBE TECNO NAO WANA COPY ASEE,
Team tecno, Kueni sana makini na haya matoleo mapya ya tecno, kuna mtu hapa tangu asubuh anahangaika, kanunua juzi tecno sijui camon gani huko kwa 250k leo kaamka majina yote yameandikwa kichina, akilazimisha ni mwendo wa 'unfortunatlly setting has stoped', simu hata uzime data inakuandikia 4G, Nimemwacha analia.
 

Attachments

  • images(4).jpeg
    images(4).jpeg
    3.1 KB · Views: 29
Samsung note 10.1 White 32gb USED INAUZWA 380,000tshs inacrack kidogo in good shape interested nicheki PM or reply
 

Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    30.3 KB · Views: 34
IPHONE 6S PLUS RED GOLD 16GB USED
PRICE TSHS 500,000
NEGOTIABLE
KARIBUNI
 

Attachments

  • download.jpeg
    download.jpeg
    6.5 KB · Views: 33
2gb RAM for laptop
Price 20,000 tshs
Nipo dsm


250gb hard disk for laptop
Price 45,000 tshs
Nipo dsm
 
Back
Top Bottom