Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Kama ina accessories zake original (charger, earphones etc), basi kuna 270K hapa! By the way, condition yake ipo katika hali gani?! Halafu RAM ngapi?!
RAM ni tatu, na condition yake ni clean kabisa, haina dosari yoyote, iwe ya kimuonekano ama performance.
By the way, thanks for ur offer bt I can't take it.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiwango chako cha mwisho kabisa bei gani?! Halafu Mkuu nimekuuliza kuhusu charger na earphone! Halafu wewe unaonekana mtunzaji mzuri kama mimi! Mimi nina simu ya tangu 2015 lakini ukiona leo utadhani mpya, sema ni majuzi tu ndipo imenitoa nishai baada ya kudondoka na ku-crak!

Huwa zinanishangaza sana simu zingine ambazo unakuta ni 7s lakini imechakaa kishenzi!!
 
Anyway, naona my maximum offer ambayo nilitarajia kuweka (300K) imeshawekwa na mwingine, ingawaje ningeweza kuongezea 10K endapo uta-remove samsung account unless if not registered!
 
Kiwango chako cha mwisho kabisa bei gani?! Halafu Mkuu nimekuuliza kuhusu charger na earphone! Halafu wewe unaonekana mtunzaji mzuri kama mimi! Mimi nina simu ya tangu 2015 lakini ukiona leo utadhani mpya, sema ni majuzi tu ndipo imenitoa nishai baada ya kudondoka na ku-crak!

Huwa zinanishangaza sana simu zingine ambazo unakuta ni 7s lakini imechakaa kishenzi!!
Mkuu charger + earphone vyote vipo.
Hiyo cm nimenunua October last year.
Ofa yangu yamwisho 350k top.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samsung Grand Prime Pro 2018 *BrandNew*
Yenye Kioo cha SuperAmoled touchscreen
Full boxed
Condition: Brand New
Kwa kiasi kidogo cha tzs 280,000/-
Duo Sim (Line Mbili)
5 Inch Display
Processor 1.4GHz
GPU Snapdragon 425 Soc
8MP Rear Camera + Flash
5MP Front Camera + Flash
1.5GB Ram
16GB Rom
2600mAh Battery
Inakuja na
Cover 2(Bure) za Ulinzi wa Nje
Protector Yake(Bure) kwa ajili ya Screen
Pamoja na risiti
Kwa kiasi kidogo cha tzs 280,000/-
Contact +255754564794 Whatsapp
Contact +255713445299 Whatsapp/Text/Call
*Mikoani tunatuma*
20190217_093048.jpeg
FB_IMG_1550640049600.jpeg
FB_IMG_1550640240588.jpeg
20190207_225612.jpeg
%24_86.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu charger + earphone vyote vipo.
Hiyo cm nimenunua October last year.
Ofa yangu yamwisho 350k top.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ina maana Chifu hujasikia tangazo la Magu kupitia TRA na Jeshi la Polisi kwamba, kutokana na vyuma kukaba basi msiwauzie Watanzania bidhaa used kwa Sh. 250K, au?! Kama upo serious na biz, tugawane hiyo 50K! Halafu stori zote hizi wala hujasema upo wapi!
 
Inamaana mkuu me leo nikitaka kuuza home theater ya watts 1200 just because it's not brand new ntatakiwa kuuza chini ya 250k..!! Ama fridge ya boss milango miwili kwa 250k..!! Come on man..
Kama uko serious na hii cm hiyo ni bei yakawaida kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inamaana mkuu me leo nikitaka kuuza home theater ya watts 1200 just because it's not brand new ntatakiwa kuuza chini ya 250k..!! Ama fridge ya boss milango miwili kwa 250k..!! Come on man..
Kama uko serious na hii cm hiyo ni bei yakawaida kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na hizo chit-chat bhana; kama nisingekuwa serious ningeandika ma-post yote haya?! Nimekuomba tugawane hiyo 50K halafu nikakuuliza maeneo; which means, kama tunafikia maelewano, tunakutana vp!
 
Kuhusu location me niko Moro. Ila kama upo mikoa jirani (dodoma, pwani, dar, tanga) nakuletea mimi mwenyewe (nnasafiri kwenye hiyo mikoa mara kwa mara), tofauti na hapo, nitaisafirisha kwenye gari atapokea mtu, atakuletea, utampa cash. Deal Done.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuhusu location me niko Moro. Ila kama upo mikoa jirani (dodoma, pwani, dar, tanga) nakuletea mimi mwenyewe (nnasafiri kwenye hiyo mikoa mara kwa mara), tofauti na hapo, nitaisafirisha kwenye gari atapokea mtu, atakuletea, utampa cash. Deal Done.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah, ungekuwa Dar ningehakikisha leo leo tunamalizana!!! Sasa ndo hivyo tena, nipo Dar! Naweza kuipata kwa haraka kiasi gani?
 
Back
Top Bottom