Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Poa, lakini mimi sina simu hapa lakini kama utakuja wewe au yeyote utakayempa akiamua kunifuata mimi, itakuwa rahisi sana kwa sababu mida mida fulani natarajia kuwa pale Chuo cha Uhasibu (TIA) ambapo ni rahis sana kuonana. Na kwavile nakuwaga na laptop muda wote, tunaweza kuwasiliana kwa SMS bila tatizo lolote! Unasemaje?
 
Hakuna tabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwa makini.

Sent using my nokia ya tochi
Usidhani kila mtu muhuni au mwizi wewe!! Juzi watu wawili nimefanya nao biashara kwa mtindo huo huo! Yeye anatumia simu, mimi nawasiliana nae kwa sms kupitia modem!

Sio hivyo tu! Tangu Jumamosi iliyopitai nenda kule Jukwaa la kazi! Utaona nimekuwa niki-post vibarua mara 3 na all applicants nawasiliana nao kwa njia hiyo hiyo! Uliza kama kuna mtu aliyedhuumiwa hata senti saa 5! Acha u-snitch!
 
Kwani mie kosa langu mie nini mkuu, kisa kumwambia awe makini ni kweli awe makini na hakuna sehu nimesema ww ni muhuni au mwizi

Nimemwambia awe makini sababu ngumu kumuamin mtu usiemjua hilo moja pili mie nishakutana na mazingira kama hayo miaka mingi kidogo s4 ndio ipo kwenye ubora wake, jamaa kanijuza yupo chuo na nin, mie nikamuibukia, akadai yupo class, anakuja mdogo wake kutuchukua kutupeleka mtaani kwake sababu cm anataka kumchukulia mkewe so akiipitisha mkewe atatuma pesa, fresh akaja mdogo wake, ila umri wa mdogo mtu ukanishtua km mdogo mtu hv kaka yake itakuwaje na eti anasoma sawa elimu haina mwisho, ila muonekano wa mdogo wake ulikuwa wa kisela kimtindo, fresh mdogo mtu akaanza kuichek cm as if yeye ndio mnunuzi, kidogo akatwambia tuvuke barabara hm ni upande wa pili tu huku cm anayo yeye, wakat tunavuka barabara nikamuomba cm nikashika mwenyewe, Tulivovuka road nikamgomea kwenda huko nilikuwa na rafk yangu m1,ambae cm nilikuwa nauza kwa ajili yake asolve matatizo yake kidogo, nikamwambia tunakusubiri hapa jamaa akazama uchochoroni, alivyopotea nikamwambia mwanangu ujue huyu qyummer ni mwizi, mwanangu akasema itakuwa kweli, kutoka katika kile kichochoro wakawa wanachomoza washkaji tofaut wanatuchabo wanaondoka, nikipiga simu ya kaka mtu hapatikani, nikmwambia mwanangu tusepe.

Sasa je kuna ubaya kumtahadharisha mkuu?? Mjini hapa. Japo naamini 90% sio muhuni wala mwizi ila huwez kumuamini mtu usiemjua 100%
Usidhani kila mtu muhuni au mwizi wewe!! Juzi watu wawili nimefanya nao biashara kwa mtindo huo huo! Yeye anatumia simu, mimi nawasiliana nae kwa sms kupitia modem; na mmoja wapo ni laiddi! Muulize kama kuna lolote ambalo lilitokea zaidi ya kumweka kwa takribani dakika 5 kwa sababu aliwahi zaidi tofauti na nilivyokuwa nimetarajia!

Sio hivyo tu! Tangu Jumamosi iliyopitai nenda kule Jukwaa la kazi! Utaona nimekuwa niki-post vibarua mara 3 na all applicants nawasiliana nao kwa njia hiyo hiyo! Uliza kama kuna mtu aliyedhuumiwa hata senti saa 5! Acha u-snitch!

Sent using my nokia ya tochi
 
Kwani mie kosa langu mie nini mkuu, kisa kumwambia awe makini ni kweli awe makini na hakuna sehu nimesema ww ni muhuni au mwizi

Nimemwambia awe makini sababu ngumu kumuamin mtu usiemjua hilo moja pili mie nishakutana na mazingira kama hayo miaka mingi kidogo s4 ndio ipo kwenye ubora wake, jamaa kanijuza yupo chuo na nin, mie nikamuibukia, akadai yupo class, anakuja mdogo wake kutuchukua kutupeleka mtaani kwake sababu cm anataka kumchukulia mkewe so akiipitisha mkewe atatuma pesa, fresh akaja mdogo wake, ila umri wa mdogo mtu ukanishtua km mdogo mtu hv kaka yake itakuwaje na eti anasoma sawa elimu haina mwisho, ila muonekano wa mdogo wake ulikuwa wa kisela kimtindo, fresh mdogo mtu akaanza kuichek cm as if yeye ndio mnunuzi, kidogo akatwambia tuvuke barabara hm ni upande wa pili tu huku cm anayo yeye, wakat tunavuka barabara nikamuomba cm nikashika mwenyewe, Tulivovuka road nikamgomea kwenda huko nilikuwa na rafk yangu m1,ambae cm nilikuwa nauza kwa ajili yake asolve matatizo yake kidogo, nikamwambia tunakusubiri hapa jamaa akazama uchochoroni, alivyopotea nikamwambia mwanangu ujue huyu qyummer ni mwizi, mwanangu akasema itakuwa kweli, kutoka katika kile kichochoro wakawa wanachomoza washkaji tofaut wanatuchabo wanaondoka, nikipiga simu ya kaka mtu hapatikani, nikmwambia mwanangu tusepe.

Sasa je kuna ubaya kumtahadharisha mkuu?? Mjini hapa. Japo naamini 90% sio muhuni wala mwizi ila huwez kumuamini mtu usiemjua 100%

Sent using my nokia ya tochi

Ni kweli mkuu,Mimi nilifanya Biashara mara kadhaa na jamaa fulani wa hapo Aggrey kariakoo anaitwa Zuberi nilivyomzoea na kumwamini akanipiga IPhone 5s Enzo hizo ziko juu.
Biashara za mitandaoni uwe makini sana,wema na wabaya wote sawa ktk muonekano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IPhone 5S
Internal 16gb
No 0714018677
price 250000
IMG-20190302-WA0012.jpeg
IMG-20190302-WA0005.jpeg
IMG-20190302-WA0014.jpeg
IMG-20190302-WA0019.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashangaa mchizi aniona eti mie snitch kisa kumuambia mtu awe makini, halaf wabongo sie miyeyusho kichizi, yaani hatuwez kuweka hoja, lazima atoe kauli mbov sasa hilo povu si hata muuziwa anaogopa, ila angesema tu mkuu asijali mke humu nimefanya biashara na fulani na fulank ingetosha sana..
Ni kweli mkuu,Mimi nilifanya Biashara mara kadhaa na jamaa fulani wa hapo Aggrey kariakoo anaitwa Zuberi nilivyomzoea na kumwamini akanipiga IPhone 5s Enzo hizo ziko juu.
Biashara za mitandaoni uwe makini sana,wema na wabaya wote sawa ktk muonekano

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using my nokia ya tochi
 
Nashangaa mchizi aniona eti mie snitch kisa kumuambia mtu awe makini, halaf wabongo sie miyeyusho kichizi, yaani hatuwez kuweka hoja, lazima atoe kauli mbov sasa hilo povu si hata muuziwa anaogopa, ila angesema tu mkuu asijali mke humu nimefanya biashara na fulani na fulank ingetosha sana..
Sent using my nokia ya tochi
Lazima nikuone snitch kwa sababu umemuonya jamaa kupitia post yangu hasa baada ya kumwambia tutawasiliana kwa sms; kwahiyo technically umemwambia awe makini na mimi! Kama shida yako ilikuwa kumpa tahadhali ungefanya hivyo bila kuhusisha post ya mtu yeyote hususani aliyekuwa nae kwenye mazungumzo ya biashara! Na hakuna povu, nilichofanya ni kukuambia usidhani kila mtu ni mwizi humu na ndipo nikakupa mifano ya niliofanya nao biashara humu kwa njia hiyo hiyo uliyoi-doubt wewe!! And FYI, mimi sio muuzaji bali nilikuwa mnunuzi; sasa sijui unamtahadhalisha vipi muuzaji ambae kila kitu anacho mwenyewe!!
 
Kwani mie kosa langu mie nini mkuu, kisa kumwambia awe makini ni kweli awe makini na hakuna sehu nimesema ww ni muhuni au mwizi

Nimemwambia awe makini sababu ngumu kumuamin mtu usiemjua hilo moja pili mie nishakutana na mazingira kama hayo miaka mingi kidogo s4 ndio ipo kwenye ubora wake, jamaa kanijuza yupo chuo na nin, mie nikamuibukia, akadai yupo class, anakuja mdogo wake kutuchukua kutupeleka mtaani kwake sababu cm anataka kumchukulia mkewe so akiipitisha mkewe atatuma pesa, fresh akaja mdogo wake, ila umri wa mdogo mtu ukanishtua km mdogo mtu hv kaka yake itakuwaje na eti anasoma sawa elimu haina mwisho, ila muonekano wa mdogo wake ulikuwa wa kisela kimtindo, fresh mdogo mtu akaanza kuichek cm as if yeye ndio mnunuzi, kidogo akatwambia tuvuke barabara hm ni upande wa pili tu huku cm anayo yeye, wakat tunavuka barabara nikamuomba cm nikashika mwenyewe, Tulivovuka road nikamgomea kwenda huko nilikuwa na rafk yangu m1,ambae cm nilikuwa nauza kwa ajili yake asolve matatizo yake kidogo, nikamwambia tunakusubiri hapa jamaa akazama uchochoroni, alivyopotea nikamwambia mwanangu ujue huyu qyummer ni mwizi, mwanangu akasema itakuwa kweli, kutoka katika kile kichochoro wakawa wanachomoza washkaji tofaut wanatuchabo wanaondoka, nikipiga simu ya kaka mtu hapatikani, nikmwambia mwanangu tusepe.

Sasa je kuna ubaya kumtahadharisha mkuu?? Mjini hapa. Japo naamini 90% sio muhuni wala mwizi ila huwez kumuamini mtu usiemjua 100%

Sent using my nokia ya tochi
Ungemtahadhalisha yeye kama yeye lakini sio kumtahadhalisha kupitia post ya mtu aliyekuwa anafanya mazungumzo nae! Na hata huo mfano wa mwanafunzi unaonesha moja kwa moja kwamba tahadhali yako ilihisiana na post yangu ambayo nilimwambia jamaa tukutane pande za Chuo cha Uhasibu; kwahiyo ukaona hawa ndo wale wale!!! Na kwa maana hiyo nilikuwa na kila sababu ya kukuambia usidhani kila mtu ni mwizi humu!
 
Lazima nikuone snitch kwa sababu umemuonya jamaa kupitia post yangu hasa baada ya kumwambia tutawasiliana kwa sms; kwahiyo technically umemwambia awe makini na mimi! Kama shida yako ilikuwa kumpa tahadhali ungefanya hivyo bila kuhusisha post ya mtu yeyote hususani aliyekuwa nae kwenye mazungumzo ya biashara! Na hakuna povu, nilichofanya ni kukuambia usidhani kila mtu ni mwizi humu na ndipo nikakupa mifano ya niliofanya nao biashara humu kwa njia hiyo hiyo uliyoi-doubt wewe!! And FYI, mimi sio muuzaji bali nilikuwa mnunuzi; sasa sijui unamtahadhalisha vipi muuzaji ambae kila kitu anacho mwenyewe!!
Haya sawa mie snitch [emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa ningemtahadharisha kupitia post ya nani km sio yenu[emoji23][emoji23]

Anyway sio kesi nisamehe km nimewaharibia.

Sent using my nokia ya tochi
 
Haya sawa mie snitch [emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa ningemtahadharisha kupitia post ya nani km sio yenu[emoji23][emoji23]

Anyway sio kesi nisamehe km nimewaharibia.

Sent using my nokia ya tochi
Hakuna ulimwaribia kwa sababu deal haikukamilika si kwa sababu ya post yako bali kwa sababu nyingine kabisa ambayo kimsingi, ni yeye mwenyewe
 
Back
Top Bottom