Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,395
- 2,391
Unajua maana ya OS na iOS??ORIGINAL Iphone 6 Utaijuaje.?
(Camera ya iphone 6 inapanda juu kidogo kuzidi kile kioo cha flash light)
(Iphone zote zinamfumo wa OS na sio IOS)
(Iphone zote zina program ya SIRI inayotumika kuuliza maswali na vitu)
(Iphone ukigeuza kwa chini kwenye nut zilifungwa pembeni ya charge input zina njia tano zinazofunya bisibisi ya kufungulia ikamate)
(Iphone zote Battery percentage huwa na rangi nyeupe tu)
(Iphone Apple lake la nyuma ukishka kwa kupapasa huwa imekaa imechogwa yaan unafeel kabisa tofauti na zakubandika)
(Iphone Ukirestore ukiwasha haikuelekezi uchague Lugha)
(Iphone zote huwa haziwekewi Pic ya simu kwa juu)
ZIPO NYINGI LA KWA HIZI HUWEZI PATA IPHONE FAKE
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app